FAIDA ZA KIAFYA ZA MBEGU ZA MRONGE/MORINGA


image


Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za mbegu za mronge/moringa


 Faida za kiafya za mbegu za mronge (moringa)

1. mbegu za mronge zina virutubisho kama vitamini A, B na C. Pia zina madini kama madini ya calcium, chuma na pia kuna fata kama amino acid.

2. Husaidia katika kupata usingizi mwororo

3. Husaidia katika kuondoa tatizo la kukosa choo

4. Husaidia katika kuthibiti kiwango cha sukari kwenye damu

5. Ni chanzo kikubwa cha madini ya chuma

6. Husaidia katika kuondoa tatizo la kupata maradhi ya anaemia yanayopelekea upungufu wa hewa ya oksijeni mwilini

7. Hupunguza maumivu ya viungo

8. Husaidia katika kuuwa seli za saratani mwilini.

9. Husaidia kuboresha afya ya ngozi

10. husaidia kulinda afya ya moyo na mishipa ya damu.

11. Husaidia katika kulinda afya ya ini



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Mafunzo ya html kwa kiswahili       ðŸ‘‰    2 Jifunze fiqh       ðŸ‘‰    3 Madrasa kiganjani       ðŸ‘‰    4 Mafunzo ya php       ðŸ‘‰    5 Maktaba ya vitabu       ðŸ‘‰    6 Hadiythi za alif lela u lela    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Faida za kiafya za kula pera
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula pera Soma Zaidi...

image Faida za kiafya za kula tangawizi
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za tangawizi Soma Zaidi...

image Faida za kula kabichi
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula kabichi Soma Zaidi...

image Faida za kula tango
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula tango Soma Zaidi...

image Blueberry
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula blueberry Soma Zaidi...

image Faida za kula chungwa na chenza (tangarine)
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula chungwa na chenza (tangarine) Soma Zaidi...

image Faida za kula asali
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula asali Soma Zaidi...

image Faida za kula tikiti
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula tikiti Soma Zaidi...

image Faida za kula pilipili
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula pilipili Soma Zaidi...

image Faida za kula passion
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula passion Soma Zaidi...