Faida za kiafya za mchaichai/lemongrass
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za mchaichai/lemongrass
Faida za Mchaichai (lemongrass)
? Majani haya hutumika kama mbadala wa majani ya chai. Yana harufu nzuri na rangia ya kuvutia pindi yakitumiwa kama mbadala wa majani ya chai.
1. husaiadia katika kuboresha mfumo wa meng’enyo wa chakula
2. Mchaichai una virutubisho kama vitamini C na A, pia una madini
3. Hutumika kama dawa ya kukosa choo, kujaa kwa gesi na kuvimbiwa
4. Husaidia kutoa sumu mwilini
5. Husaidia katika kudhibiti presha ya damu na kuishusha
6. Husaidia katika kusafisha ini
7. Huboresha afya ya moyo.
8. Husaidia katika uunguzwaji wa fati na mafuta mwilini
9. Huimarisha na kuboresha afya ya ngozi na nywele
10. Husaidia katika kutibu mafua na homa ya mafua
11. Hupunguza maumivu ya chango la kinamama.
?
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 kitabu cha Simulizi 👉2 Simulizi za Hadithi Audio 👉3 ai web app 👉4 Madrasa kiganjani 👉5 Bongolite - Game zone - Play free game 👉6 Kitau cha Fiqh
Post zinazofanana:
Vyakula vya vitamin E
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za vyakula vya vitamin E
Soma Zaidi...Je ni kweli vitunguu saumu vinashusha presure
Kitunguu saumu ni tiba mbadala ya presha yabkushuja. Hakitatui tatizo yaani hakiponyeshi, ila husaidia katika kushusha presha iliyo panda.
Soma Zaidi...Faida za kungumanga/nutmeg
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula kungumanga
Soma Zaidi...