image

Faida za kiafya za peaz/ peas

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula peazi/peas

Faida za kiafya za peasi (pear)

1. peasi lina virutubisho kama vitamini C, B na K, pia madini ya chuma, magnesium na calcium. Pia peasi lina fati na protini

2. Husaidia kulinda mwili dhidi ya kisukari

3. Hulinda mwili dhidi ya maradhi ya moyo

4. Hulinda mfumo wa mmengenyo wa chakula dhidi ya uaribifu

5. Hulinda afya ya mishipa ya damu

6. Husadia katika kuondosha sumu mwilini

7. Huzuia athari za kemikali mwilini

8. Huboresha afya ya mfumo wa kinga           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2021-10-27     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1970


Download our Apps
👉1 Kitau cha Fiqh     👉2 Madrasa kiganjani     👉3 Kitabu cha Afya     👉4 kitabu cha Simulizi    

Post zifazofanana:-

Vyakula hatari kwa mwenye kisukari
Somo hili linakwenda kukuletea orodha ya vyakula hatari kwa mwenye kisukari Soma Zaidi...

Vyakula na ugonjwa wa kisukari
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu baadhi ya vyakula vimpasavyo mgonjwa wa kisukari Soma Zaidi...

Faida za pilipili
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za pilipili Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kula kitunguu thaumu
Soma Zaidi...

matunda
Soma Zaidi...

Dalili za upungufu wa vitamini C
Utajuaje kama una upungufu wa vitamini C. Zijuwe dalili za upungufu wa vitamini C hapa Soma Zaidi...

Faida za kula Pilipili
Usiogope kuwashwa, kula pilipili ni nzuri kwa afya yako ia virutubisho vingi sana Soma Zaidi...

VYANZO VYA VYAKULA VYA FATI, PROTINO NA WANGA NA FAIDA ZAKE
Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote Soma Zaidi...

Limao (lemon)
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula limao Soma Zaidi...

Vyakula vya madini kwa wingi, na kazi za madini mwilini
Utajifunza vyakula vyenye madini kwa wingi, kazi za madini mwilini na athari za upungufu wake Soma Zaidi...

Faida za nazi
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula nazi Soma Zaidi...

Vyakula vya vitamin A
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za vyakula vya vitamin A Soma Zaidi...