Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za stafeli ama soursop
Faida za stafeli mwilini
1. Stafeli Lina virutubisho Kama protini, vitamin C na A, pia Lina madini ya potassium na magnesium
2. Hulinda miili yetu dhidi ya kemikali mbaya
3. Husaidia katika kuua seli za saratani
4. Husaidia mwili katika kupambana na bakteria
5. Hulinda mwili dhidi ya kupata vimbe na mashambulizi ya mara kwa mara
6. Hudhibiti kiwango cha sukari kwenye damu
7. Ni nzuri kwa watu wenye kisukari
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Somo hili linakwenda kukuletea orodha ya vyakula vyenye madini kwa wingi
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu umuhimu wa kitunguu maji mwilini
Soma Zaidi...Posti hii moja kwa moja inaenda kuelezea vyakula vya nyuzinyuzi zinazopatikana kwenye matunda na mboga mboga.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu athari za ulaji wa protini kupitiliza
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu aina za vyakula vya wanga na umuhimu wake mwilini
Soma Zaidi...