image

Faida za kula asali

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula asali

45. Faida za kiafya za kula Asali

1. Asali ina virutubisho kama sukari, vitamini na madini mbalimbali

2. Asali huweza kuupa mwili uwezo wa kujilinda dhidi ya shambulio la moyo, presha,na saratani

3. Pia asali huboresha afya ya macho

4. Huongeza kiwango cha sukari kwenye damu

5. Hushusha presha ya damu

6. Huborsha na kuimarisha afya ya moyo

7. Ni dawa kwa aliyeungua ama kwa mwenye kidonda ama jeraha

8. Ni dawa ya kikohozi kwa watoto           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2021-10-27     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1645


Download our Apps
👉1 kitabu cha Simulizi     👉2 Madrasa kiganjani     👉3 Kitau cha Fiqh     👉4 Kitabu cha Afya    

Post zifazofanana:-

Papai (papaya)
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula papai Soma Zaidi...

darasa la lishe
Jifunze mengi kuhusu afya na lishe, ujuwe utaratibu wa lishe Soma Zaidi...

HOMA YA DENGUE, DALILI ZAKE, TIBA YAKE, CHANGO YAKE NA INA SABABISHWA (AMBUKIZWA) NA MBU GANI
Homa ya dengue hupatikana sana Afrika, Asia na baadhi ya maeneo ya Caribbean. Soma Zaidi...

Vyakula vya kuongeza nguvu za kiume
Zijuwe dawa za kuongeza nguvu za kiume, na vyakula salama vya kuongeza nguvu za kiume Soma Zaidi...

Nazi (coconut oil)
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula nazi Soma Zaidi...

Faida za limao au ndimu
Post hii itakwenda kukueleza umuhimu wa limao kiafya Soma Zaidi...

Blueberry
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula blueberry Soma Zaidi...

Vyakula vya kupambana na saratani
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu vyakula vya kupambana na saratani Soma Zaidi...

Je ,mafua yanayojirudia Mara kwa Mara hasa wkati was baridi ,au vumbi likiingia puan chafya haziishi,Hilo nalo ni upungufu wa vitamin c?
Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kunywa maziwa
Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kula magimbi
Soma Zaidi...

Zijuwe faida za kiafya za kula nanasi
Je umeshawahi kula nanasi kwa wingi. Soma Zaidi...