Faida za kula bamia
Posti hii inazungumzia kuhusiana na Faida ambazo anaweza kupata mwanadamu Kama akila bamia Mara kwa mara. Bamia huliwa Kama tunda au Kama mboga pia na husaidia vitu vingi mwilini.
FAIDA
1. Kuondoa vimelea vya sumu kwenye mwili wa mwanadamu.
2.hutuoatia virutubisho aina ya nyuzinyuzi ambavyo husaidia katika kusaga chakula tumboni.
3.Husaidia kuimarisha afya ya Nywele,kupambaa na tatizo la uchovu wa mwili pia na msongo wa mawazo.
4.husaidia kulainisha choo kigumu kwasababu husaidia kulainisha utumbo mkubwa wakati wa mmeng'enyo wa chakula.
5. Husaidia kutibu na Kupunguza maumivu kwa wale wenye Vidonda vya tumbo, Kwan bamia huweza kutibu kabisa Vidonda vya tumbo ambavyo bado havijawa sugu (chronic).
6. Husaidia pia kwa wenye kisukari kwasababu ya Uwezo wake wa kumsaidia kuyeyusha au kumeng'enya chakula.
7.pia huweka sawa mfumo wa sukari mwilini.
8.huboresha Kinga ya mwili.
9.husaidia mwili kusafisha Damu.
10.husaidia mwili kukabiliana na Magonjwa mbalimbali Kama vile Saratani.
11.ina vitamin C.
12.Husaidia pia kutibu tatizo la upungufu wa Damu mwilini. Kwani ukila bamia Mara kwa Mara husaia kuongeza Damu.
13.kuimarisha mfumo wa kuona kwa sababu Ina chanzo kizuri Cha vitamini A.
14.huimarisha mifupa, ata Kama umevinjika au unatatizo la mifupa ukitumia bamia Mara kwa Mara huimarisha mifupa yako.
15.husaidia Kupunguza Ugonjwa wa kansa na pia kuepusha kupata kansa.
16.pia husaidia mishipa midogo midogo ya kwenye Damu.
Mwisho: Bamia Ni nzuri na Zina Faida endapo zikitumiwa Mara kwa Mara Lakini sio kwamba Kama unaugonjwa wowote ndio usitumie Dawa hapana. Dawa zako Tumia kwa usahihi pia na bamia utumie zitakusaidia.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉2 Bongolite - Game zone - Play free game 👉3 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉4 web hosting 👉5 Madrasa kiganjani 👉6 ai web app
Post zinazofanana:
Je ulaji wa boga unafaa kwa mgonjwa wa kisukari?
Je ulaji wa boga unafaa kwa mgonjwa wa kisukari?
Soma Zaidi...Faida kuu 10 za kula matunda na mboga mwilini - kwa nini ni muhumu kula matunda?
Makala hii inakwenda kukutajia sababau kuu 10 ambazo zinaonyesha umuhimu wa kula matunda kiafya. kwa nini kiafya unashauriwa ule matunda na mboga mara kwa mara?
Soma Zaidi...Kazi za madini ya zinki
Posti hii inahusu zaidi juu ya madini ya zinki na faida zake katika mwili wa binadamu,
Soma Zaidi...VYAKULA VYA VITAMIN NA MAJI
Zitambue aina zote za vyakule na ufanye maamuzi yaliyo kuwa sahihi katika uandaaji wa chakula chako
Soma Zaidi...Vyakula hatari kwa mwenye kisukari
Somo hili linakwenda kukuletea orodha ya vyakula hatari kwa mwenye kisukari
Soma Zaidi...