picha

Faida za kula kachumbari

Posti hii inahusu zaidi faida mbalimbali ambazo anaweza kuzipata mtu anayetumia kachumbari, tunajua wazi kwamba kachumbari ni mchanganyiko wa nyanya, vitunguu maji,kabichi,na pilipili kidogo.

Faida za matumizi ya kachumbari.

1. Usaidia kwenye mmeng'enyo wa chakula.

Kwa kawaida tunafahamu kwamba kama kuna matatizo kwenye mmeng'enyo wa chakula kwa kutumia kachumbari mara kwa mara kwa hiyo usaidia kurainisha chakula na kusababisha mmeng'enyo kuwa vizuri.

 

2. Usaidia katika kupunguza uzito.

Kwa kawaida watu wenye tatizo la kuongeza uzito mara kwa mara wakitumia kachumbari uzito upungua ila wanapaswa kuwa makini katika matumizi ya kachumbari wasiweke mafuta bali watumie jinsi ilivyo.

 

3. Upunguza kuvimbiwa au kuondoa gesi kwenye tumbo.

Kwa kawaida kazi ya kachumbari ni kuhakikisha kwamba kila kitu kinaenda vizuri mwilini kwa kuhakikisha kuwa gesi unaondolewa na kupunguza kuvimba kwa tumbo.

 

4. Kuongezeka kwa hamu ya kula.

Pia kachumbari usaidia katika kuongeza hamu ya kula kwa sababu watu ambao wana matatizo katika chakula wakipatiwa kachumbari Uweza kuwa na hamu ya kula.

 

5. Vile vile kachumbari usaidia katika shughuli za ku balence homoni za mwili, kwa sababu kwenye mwili kuna matatizo mbalimbali hasa kwa wanawake kwa hiyo katika matumizi ya kachumbari usababisha homoni kubwa kwenye hali nzuri na ya kawaida.

 

6. Pia kachumbari usaidia kuondoa uchovu wa mara kwa mara.

Kwa kawaida sababu ya majukumu mbalimbali ya kila siku usababisha kuwepo kwa uchovu wa mara kwa mara ila kwa sababu ya kutumia kachumbari usababisha kuondoa uchovu huo.

 

7. Kupata usingizi bora.

Kwa watu ambao wana matatizo ya kutopata usingizi ila kwa matumizi ya kachumbari wanaweza kupata usingizi mzuri na mzito kabisa.

Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu image Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Vyakula Main: Post File: Download PDF Views 8792

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Dua za Mitume na Manabii     👉2 Tafasiri ya Riyadh Swalihina     👉3 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     👉4 web hosting     👉5 kitabu cha Simulizi     👉6 Bongolite - Game zone - Play free game    

Post zinazofanana:

Vyakula vya madini, kazizake na athari za upungufu wa madini mwilini

Je ungependa kujuwa vyakula hivyo ama vyanzo vya madini? Na je ungependa kujuwa ni zipi hasa kazi za madini katika miili yetu?. makala hii ni kwa ajili yako, hapa utakwenda kujifunza mengi kuhusu somo hili.

Soma Zaidi...
Namna ya kuandaa mdalasini kwa ajili ya tiba.

Posti hii inahusu namna au njia za kuandaa mdalasini kwa ajili ya tiba ya homoni imbalance kwa wanawake.

Soma Zaidi...
Aina 20 za Vitamini, kazi zake, vyanzo vyeke na madhara ya upungufu wake

Katika post hii utakwenda kujifunza aina 20 za vitamini. Utajifunza kazu zake mwilini, vyanzo vyake na madhara yanayoweza kutokea kutokana na upungufu wake.

Soma Zaidi...
NI ZIPI KAZI ZA PROTINI MWILINI?

Makala hii inakwenda kukuletea kazi kuu za protini na vyakula vya protini katika miili yetu. Mkala hii itakusaiidia kujuwa namna ya kupangilia lishe yako kiusalama zaidi baada ya kujuwa kazi za protini katika miili yetu.

Soma Zaidi...