FAIDA ZA KULA KAROTI


image


Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kula karoti


Faida za karoti

1. karoti ina virutubisho kama sukari, fati, protini, vitamini A, B, K na madini ya potassium.

2. Hupunguza hatari ya kupata saratani

3. Hususha cholesterol

4. Husaidia kupunguza uzito

5. Husaidia kuboresha afya ya macho

6. Karoti ni nzuri kwa afya ya mfumo wa mmeng’enyo wa chakula

7. Husaidia kudhibiti ugonjwa wa kisukari

8. Husaidia kulinda na muimarisha afya ya moyo na mishipa ya moyo

9. Husaidia kuboresha na kuimarisha mfumo wa kinga mwilini

10. Karoti ni nzuri kwa afya ya mifupa



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Madrasa kiganjani       ðŸ‘‰    2 Magonjwa na afya       ðŸ‘‰    3 Mafunzo ya html kwa kiswahili       ðŸ‘‰    4 Mafunzo ya php       ðŸ‘‰    5 Jifunze fiqh       ðŸ‘‰    6 Maktaba ya vitabu    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Faida za kula embe
Somo hili linakwenda kukuletea faida za embe na umuhimu wake kiafya Soma Zaidi...

image Kitunguu saumu
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kitunguu saumu Soma Zaidi...

image Faida za kula uyoga
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kula uyoga Soma Zaidi...

image Faida za limao au ndimu
Post hii itakwenda kukueleza umuhimu wa limao kiafya Soma Zaidi...

image Zaituni (Olive)
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula zaituni/ Olive Soma Zaidi...

image Faida za ubuyu
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula ubuyu Soma Zaidi...

image Faida za kiafya za mchaichai/lemongrass
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za mchaichai/lemongrass Soma Zaidi...

image Faida za kiafya za kula kunazi/ lote tree
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula kunazi/ lotetree Soma Zaidi...

image Faida za kiafya za kula tangawizi
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za tangawizi Soma Zaidi...

image Faida za kiafya za kula fyulisi/ peach
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula fyulisi/peach Soma Zaidi...