Somo hili linakwenda kukuletea faida za kiafya za kula kunde, maharage, njegere, mbaazi na njugu mawe
Faida za maharage, kunde, njegere, mbaazi na njugu mawe
1. Tunapata virutubisho Kama vile protin, vitamin B, A na K pia madini ya shaba, chuma na manganese
2. Husaidia kushusha sukari na kuboresha kiwango cha insulini
3. Hupunguza uwezekano wa kupata kisukari
4. Hupunguza cholesterol mbaya mwilini
5. Husaidia katika kupunguza uzito
6. Hupunguza hatari ya kupata kisukari
7. Hupunguza uwezekano wa kupata presha
8. Huboresha afya ya mifupa
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Post hii inakwenda kukupa faida kuu 5 za kula karanga mbichi katika afya ya mwili wako.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukuletea faida za embe na umuhimu wake kiafya
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula bamia
Soma Zaidi...Zijuwe sababu kuu za kuwepo kwa maumivu ya tumbo baada ya kula chakula
Soma Zaidi...Somo hili litakwenda kukueleza na kukuelimisha kuhusu umuhimu wa kula parachichi kiafya
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula fyulisi/ peach
Soma Zaidi...