Faida za kula mayai
Posti hii inahusu zaidi faida anazozipata mtu anayekula mayai hasa wakati wa kifua kinywa, tunajua wazi kuwa mayai yana kiwango kikubwa cha protini pamoja na hayo kuna faida nyingi za kutumia mayai hasa wakati wa asubuhi kama ifuatavyo.
Faida za kula mayai.
1. Utunza shibe.
Kwa kawaida ukila mayai wakati wa asubuhi kuna faida kubwa ya kupata protini pamoja na kutohisi njaa mapema kwa mfano ukitumia mayai asubuhi unaweza kufika saa sita bila kuhisi njaa.
2. Upunguza uzito.
Kuna wataalamu ambao wanasema kuwa wanaotumia mayai kila siku uzito wao ni wa kawaida na kwa wale wanaopenda kupunguza uzito wanashauriwa kutumia mayai kwa wingi ili waweze kuwa wa kawaida.
3. Hayaongezi uzito.
Kwa kawaida mayai hayana mafuta na ila yana wingi wa protini kwa hiyo sio hatarishi kwenye mwili kwa sababu hayaongezi mafuta yoyote mwilini.
4. Uongeza kiasi cha kukua kwa ubongo.
Kwa wale wanaotumia sana mayai wana kiasi kikubwa cha kukua kwa ubongo na pia wana uwezo wa kuwa na kumbukumbu nzuri hata wakiwa kwenye umri wa uzee.
5. Ulinda macho
Kwa kawaida kwenye macho kunahitajika kiasi cha protini kwa watumiaji wa mayai wana kiwango kikubwa cha kuwa na macho imara pia na kwa wale wanaotumia mayai tangua udogo wao ni mara chache kwa na matatizo ya macho.
6. Usaidia katika kukua
Kwa kawaida na mayai yana kiwango kikubwa cha protini kwa hiyo usaidia katika ukuaji hasa kwa watoto kwa hiyo wazazi wanapaswa kuwapatia watoto mayai angalau mtoto apate mayai matatu kwa wiki.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉2 Madrasa kiganjani 👉3 Simulizi za Hadithi Audio 👉4 Kitau cha Fiqh 👉5 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉6 ai web app
Post zinazofanana:
Faida za kiafya za kula korosho
Somo hili linakwenda kukuletea faida za kiafya za kula korosho
Soma Zaidi...Fahamu virutubisho vya wanga na kazi zake, vyakula vya wanga na athari za upungufu wake
Hapa tutaona kuhusu virutubisho vya wanga, kazi zake na athari za upungufu wake
Soma Zaidi...Vijuwe vyakula vya madini na kazi za madini mwilini
Post hii inakwenda kukieleza kuhusu vyakula vya madini na kazi zake mwilini
Soma Zaidi...Upungufu wa protini na dalili zake
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu upungufu wa protini na dalili zake
Soma Zaidi...