FAIDA ZA KULA NANASI


image


Somo hili linakwenda kukuletea za kula nanasi na umuhimu wake kiafya


Faida za nanasi

1. Nanasi Lina virutubisho Kama vile fati, protin, vitamin C na B6, madini ya chuma, manganese na shaba

2. Hupunguza misongo ya mawazo (stress)

3. Nanasi ni rahisi kumeng'enywa tumboni

4. Hupunguza athari za ugonjwa wa saratani

5. Huimarisha na kuboresha mfumo wa kinga mwilini

6. Hupunguza maumivu ya viungio

7. Husaidia kupona haraka baada ya kufanyiwa upasuaji

8. Ni tunda tamu



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Magonjwa na afya       ðŸ‘‰    2 Hadiythi za alif lela u lela       ðŸ‘‰    3 Madrasa kiganjani       ðŸ‘‰    4 Mafunzo ya html kwa kiswahili       ðŸ‘‰    5 Maktaba ya vitabu       ðŸ‘‰    6 Jifunze fiqh    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Faida za kiafya za kula kungumanga/nutmeg
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kungumanga/nutmeg Soma Zaidi...

image Tango (cucumber)
Somo hili linakwenda kukuletea faida za kiafya za kula tango Soma Zaidi...

image Faida za kiafya za kula topetope/ accustard apple
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula topetope/ accustard apple Soma Zaidi...

image Faida za pilipili
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za pilipili Soma Zaidi...

image Faida za kiafya za peaz/ peas
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula peazi Soma Zaidi...

image Uyoga (mushrooms)
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula uyoga Soma Zaidi...

image Ndizi (banana)
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula ndizi Soma Zaidi...

image Faida za juice ya tende.
Posti hii inahusu zaidi faida ya juice ya tende,ni juice inayotumiwa na watu wengi sana na wengine wanajua kabisa faida zake na kuna wengine hawajui wanaitumia kama mazoea tu, ila kuna ambao hawajui kabisa basi zifuatazo ni faida za juice ya tende kwa wale ambao hawajui. Soma Zaidi...

image Karanga (groundnuts)
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula karanga Soma Zaidi...

image Faida za kiafya za kula tango
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula tango Soma Zaidi...