Faida za kula nazi

Faida za kula nazi

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula nazi

18. Faida za kiafya za nazi

1. nazi ina fati iliyo salama kwa afya (fatty acid)

2. Husaidia katika kuimarisha na kuboresha afya ya moyo

3. Husaidia katika uunguzwaji wa mafuta mwilini

4. Hupunguza njaa

5. Hupunguza kifafa

6. Huongeza cholesterol zilizo nzuri

7. Hulinda afya ya ngozi, nywele na meno

8. Huimarisha afya ya ubongo

9. Hupunguza mafuta mabaya kwenye tumbo (kitambi)

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Vyakula Main: Post File: Download PDF Views: 3250

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     👉2 Dua za Mitume na Manabii     👉3 Kitabu cha Afya     👉4 Madrasa kiganjani     👉5 web hosting     👉6 Kitau cha Fiqh    

Post zinazofanana:

Chungwa (orange)

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula chungwa/orange

Soma Zaidi...
Faida za kiafya za kula bamia/okra

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula bamia

Soma Zaidi...
Vyakula vya kuboresha afya ya meno

Katika post hii utakwenda kujifunza vyakula unavyopasa kul ili kuboresha afya ya meno yako. Pia utajifunza vyakula vilivyo hatari kwa afya ya meno yako.

Soma Zaidi...
Vinywaji salama kwa mwenye kisukari

Vijuwe vinywaji salama kwa mgonjwa wa kisukari

Soma Zaidi...