picha

Faida za kula ndizi

Somo hiki linakwenda kukueleza faida za kiafya za kula ndizi

Faida za ndizi

1. Ndizi Ni chanzo kizuri cha vitamini C na B6

2. Ndizi Ni nzuri kwa afya ya ngozi

3. Madini ya potassium yaliyopo kwenye ndizi husaidia kuboresha afya ya moyo na presha ya damu

4. Husaidia katika kuboresha na kuimarisha mfumo wa mmeng'enyo wa chakula

5. Ndizi humpatia mlaji nguvu

6. Ndizi Ina virutubisho vingine Kama protini, fati na madini

7.hudhibiti kiwango cha sukari mwilini

8. Huondoa sumu za vyakula mwilini

9.hutumika katika kudhibiti uzito mwilini

10. Husaidia katika kuimarisha afya ya figo

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu image Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Vyakula Main: Post File: Download PDF Views 4072

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 kitabu cha Simulizi     👉2 Tafasiri ya Riyadh Swalihina     👉3 Bongolite - Game zone - Play free game     👉4 Simulizi za Hadithi Audio     👉5 Dua za Mitume na Manabii     👉6 ai web app    

Post zinazofanana:

darasa la lishe

Jifunze mengi kuhusu afya na lishe, ujuwe utaratibu wa lishe

Soma Zaidi...
Asili ya vyakula vya madini ya zinki

Post hii inahusu zaidi asili ya madini ya zinki, hii inaonesha sehemu gani tunaaweza kupata madini ya zinki.

Soma Zaidi...
Faida za muarobaini

Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za muarobaini

Soma Zaidi...