Posti hii inaonyesha Faida za kula papai.papai Ni tunda na Lina leta afya,nguvu na kuujenga mwili.
Zifuatazo Ni Faida za kula papai katika mwili wa binadamu.
1.lina vitamini C; ambayo husaidia kuboresha na kulinda Kinga ya mwili.
2.lin vitamini A; ambayo husaidia afya ya macho, macho kuona vizuri bila shida.
3.kupunguza uvimbe ulio sababishwa na Magonjwa au jeraha
.
4.kuboresha mmeng'enyo wa chakula.
5.kuua na kuondoa mazalia ya minyoo tumboni.
6.husaidia kutibu au Kupunguza maumivu ya vidonda vya tumbo (ulcers) kwasababu ya ulaini wake huenda kulainisha michubuko au mikwaruzo iliyotokea Hadi kupelekea vidonda vya tumbo.
7.huboresha Uwezo wa kufikiria.
8.huborosha misuli na Neva mwilini.
9.kuboresha na kuimarisha Kinga ya mwili.
10.husaidia kulainisha choo (constipation)
Mwisho; papai Ni zuri endapo likitumiwa kwa Usafi lakini ukila papai kwa uchafu bila kuosha, bila kunawa mikono, nakuliandaa kwa Usafi hupelekea mtu kupata Tena matatizo Kama Kuhara,kutapika, kichefuchefu na tumbo kuuma.Hivyo basi hakikisha unaandaa papai kwa Usafi na usalama.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Kama tulivyosema hapo juu kuwa afya ni kuwa mzima kimwili na kiakili.
Soma Zaidi...Embe ni katika matunda atamu na yenye faida kubwa kiafya, soma makala hii hadi mwisho
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu vyakula vyenye protini kwa wingi
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula nanasi
Soma Zaidi...Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote
Soma Zaidi...Makala hii inakwenda kukueleza faida za kula maboga, na mbegu zake kwa afya yako
Soma Zaidi...