image

Faida za kula stafeli/soursop

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za stafel/soursop

 

faida za kiafya za stafeli (soursop)

1. stafeli lina virutubisho kama vitamini A na C. pia lina protini, na madini ya potassium na magnessium.

2. Husaidia katika kulinda miili yetu dhidi ya kemikali ndani ya mwili

3. Husaidia katika kuuwa seli za saratani

4. Husaidia mwili katika kupambana na bakteria

5. Husaidia mwili dhidi ya kupata vimbe na mashambulizi ya mara kwa mara

6. Husaidia katika kudhibiti kiwango cha sukari mwilini

7. Husaidia kwa wenye kisukari

?





           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1593


Sponsored links
👉1 Kitau cha Fiqh     👉2 kitabu cha Simulizi     👉3 Madrasa kiganjani     👉4 Kitabu cha Afya    

Post zifazofanana:-

Faida za kiafya za kula kitunguu thaumu
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kitunguu thaumu Soma Zaidi...

Faida za kula Pilipili
Usiogope kuwashwa, kula pilipili ni nzuri kwa afya yako ia virutubisho vingi sana Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kula maboga
Soma Zaidi...

Zijuwe faida za kiafya za kula nanasi
Je umeshawahi kula nanasi kwa wingi. Soma Zaidi...

VYAKULA VYA WANGA NA MADINI
Kuna aina nyingi za vyakula kama mafuta, wanga, fati, protini na vitamini. Je! unajuwa faida zake na hasara zake? Soma Zaidi...

Faida za kiafya za Asali
Soma Zaidi...

Faida za kula Ndizi
Kuna faida kubwa za kiafya kwa kula ndizi, soma makala hii mpaka mwisho Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kula Maini
Soma Zaidi...

Faida za kiafya za spinachi
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula spinach Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kula ukwaju
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula ukwaju Soma Zaidi...

Vyakula vyenye protini kwa wingi
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu vyakula vyenye protini kwa wingi Soma Zaidi...

Fahamu vyakula vya nyuzinyuzi
Posti hii moja kwa moja inaenda kuelezea vyakula vya nyuzinyuzi zinazopatikana kwenye matunda na mboga mboga. Soma Zaidi...