FAIDA ZA KULA VIAZI MBATATA


image


Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula viazi mbatata


 Faida za kiafya za viazi mbatata

1. ni chakula kizuri kwa afya ya mifupa

2. Husaidia kushusha presha ya damu

3. Ni chakula kizuri kwa afya ya moyo

4. Husaidia katika afya ya ubongo kauka kutunza kumbukumbu, kujifunza, kurelax

5. Husaidia katika ukuaji wa mtoto

6. Uboreshaji wa mfumo wa fahamu na kuboresha seli

7. Husaidia katika mapambano dhidi ya saratani

8. Huzuia tatizo la kukosa choo

9. Husaidia kupunguza uzito

10. Ni chakula kizuri kwa afya ya ngozi

11. Husaidia katika kuboresha mfumo wa kinga

12. Viazi mbatata vina virutubisho kama vitamini C na vitamini B6. pia fati, wanga na protini. Pia kuna madini ya chuma, zinc, potassium, magnesium, phosphorus na mengineyo mengi



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Madrasa kiganjani       ðŸ‘‰    2 Mafunzo ya php       ðŸ‘‰    3 Mafunzo ya html kwa kiswahili       ðŸ‘‰    4 Maktaba ya vitabu       ðŸ‘‰    5 Hadiythi za alif lela u lela       ðŸ‘‰    6 Magonjwa na afya    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Faida za kiafya za kula ukwaju
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula ukwaju Soma Zaidi...

image Karanga (groundnuts)
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula karanga Soma Zaidi...

image Tango (cucumber)
Somo hili linakwenda kukuletea faida za kiafya za kula tango Soma Zaidi...

image Faida za kula apple (tufaha)
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula apple/tufaha Soma Zaidi...

image Faida za kula bamia
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula bamia Soma Zaidi...

image Faida za kula ndizi
Somo hiki linakwenda kukueleza faida za kiafya za kula ndizi Soma Zaidi...

image Faida za kula parachichi
Somo Hili linakwenda kukuletea faida za kula parachichi Soma Zaidi...

image Faida za kiafya za kula kisamvu
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kisamvu Soma Zaidi...

image Faida za ubuyu
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula ubuyu Soma Zaidi...

image Zaituni (Olive)
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula zaituni/ Olive Soma Zaidi...