Somo hili litakwenda kukueleza kuhusu faida za kula zabibu na umuhimu wake kiafya
Faida za kula zabibu kiafya
1. Zabibu Lina virutubisho vingi Kama vile vitamin C, B6 na K pia fati, madini ya shaba na manganese
2. Ina antioxidants zinazohusika kuondoa sumu za kemikali za vyakula mwilini
3. Hupunguza athari ama hatari ya magonjwa Kama kisukari, saratani, magonjwa ya moyo na mishipa ya damu
4. Huondoa stress (msongo wa mawazo)
5. Hushusha shinikizo la damu
6. Huondoa cholesterol mbaya mwilini
7. Hushusha kiwango cha sukari kwenye damu
8. Husaidia kuimarisha afya ya macho
9. Huimarisha afya ya ubongo na utunzaji wa kumbukumbu
10. Husaidia kuboresha afya ya mifupa
11. Husaidia kupunguza maambukizi ya baadhi ya bakteria fangasi na virusi
12. Hupunguza kuzeeka mapema
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Makala hii inakwenda kukueleza kuhusu fati, vyakula vya fati, kazi zake na athari za upungufu wake
Soma Zaidi...Kukosa choo aina ya kinyesi ni kutoweza kudhibiti kinyesi, hivyo kusababisha kinyesi kuvuja bila kutarajiwa kutoka kwenye puru. Pia huitwa kutoweza kudhibiti utumbo, Upungufu wa kinyesi hutoka kwa kuvuja mara kwa mara kwa kinyesi huku ukipitisha gesi had
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula asali
Soma Zaidi...Tufaha ni katika matunda adimu na matamu, je unazijuwa faida zake kkiafya?
Soma Zaidi...hivi ndio vyakula vya protini kwa wingi, maziwa, mayai, samaki, dagaa, nyama, maini. Endelea na zaidi
Soma Zaidi...