Faida za kusafisha vidonda.
Posti hii inahusu zaidi faida za kusafisha vidonda, ni faida ambazo Mgonjwa mwenye vidonge uzipata kama ifuatavyo.
Faida za kusafisha vidonda.
1. Kusafisha vidonda usaidia kuzuia wadudu mbalimbali ambao huwa ni nyemelezi kwenye vidonda kwa sababu kama wadudu wakishaingia kwenye kidonda uweza kuleta uaribifu mkubwa kwenye kidonda chenyewe.
2. Kusafisha kidonda usaidia kuondoa unyevunyevu nyevu kwenye kidonda kwa sababu unyenyekevu ndio usababisha maambukizi zaidi kwenye video fa kwa kusafisha tunaondoa unyenyekevu kwenye vidonda.
3. Kusafisha kidonda usababisha kuzuia kuvuja kwa kidonda kwa sababu pengine panakuwepo damu kwenye kidonda unaposafisha na kuweka dawa unazuia kuvuja kwenye kidonda.
4. Kusafisha kidonda umsaidia Mgonjwa aweze kujisikia vizuri na huru kwa sababu kidonda kinakuwa na harufu nzuri na pia mgonjwa anaweza kujisikia vizuri na kuweza kushirikiana na Watu vizuri.
5.Kusafisha vidonda umsaidia Mgonjwa kuweza kupona haraka kwa sababu wadudu waharibifu wote iondolewa na ngozi ya juu uweza kurudi kwa haraka kwa hiyo Mgonjwa anapona haraka sana.
6. Kwa hiyo tunapaswa kujua na kuelewa zaidi faida za kusafisha vidonda na Watu wale wenye vidonda vya mda mrefu mnapaswa kuvipeleka hospitalini ili kuweza kuvisafisha na ili viweze kupona haraka na wale ambao wanakataa kupeleka vidonda hospitalini na wanakaa navyo nyumbani wajitahidi kuvipeleka hospitalini ili watibiwe
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉2 kitabu cha Simulizi 👉3 ai web app 👉4 Dua za Mitume na Manabii 👉5 Madrasa kiganjani 👉6 Tafasiri ya Riyadh Swalihina
Post zinazofanana:
Namna ya kuzuia ugonjwa wa kipindupindu,
Post hii inahusu zaidi ugonjwa wa kipindupindu ni ugonjwa unaosababishwa na bakteria kwa kitaalamu huitwa vibrio cholera.
Soma Zaidi...Ratiba ya chanjo ya kuzuia kuharisha
Posti hii inahusu zaidi ratiba ya chanjo ya kuzuia kuharisha hii ni chanjo wanayopewa watoto wadogo chini ya miaka mitano kwa lengo la kuzuia kuharisha chanjo hiyo kwa kitaalamu huitwa Rotarix.
Soma Zaidi...Njia za kutumia Ili kuepuka tatizo la kupungua kwa damu
Post hii inahusu zaidi ugonjwa wa tatizo na kuishiwa damu, kuishiwa damu ni tatizo linolowakumba watu wengi na kusababisha matatizo mengi
Soma Zaidi...huduma ya kwanza kwa mtu aliyeingiwa na uchafu sikioni
Post hii inahusu huduma ya kwanza kwa mtu aliyeingiwa na uchafu au kitu chochote sikioni. Sikio ni mojawapo ya milango ya fahamu ambapo hutumika kusikia, Kuna wakati vitu uingia ndani yake na kuleta madhara
Soma Zaidi...Mabadiliko yanayotokea wakati wa kubarehe kwa wsichana
Post hii inahusu zaidi mabadiliko katika umri wa kubarehe kwa wsichana, ni kipindi ambacho watoto huelekea ujana, utokea Kati ya miaka kuanzia Kumi na kuendelea.
Soma Zaidi...