Posti hii inahusu zaidi faida za majani ya mstafeli,ni majani ambayo utibu magonjwa mbalimbali hasa saratani, kwa hiyo tunapaswa kuyatumia ili tuweze kupata matibabu ya kansa mbalimbali.
1. Majani ya mstafeli usaidia kutibu saratani ya damu.
Hii ni aina ya saratani ambayo ushambulia damu na ni mojawapo ya saratani ambayo uua mtu kwa mda mfupi kama hakuna matibabu ya haraka kwa hiyo tunapaswa kutumia majani ya mti wa mstafeli ili kuweza kutibu tatizo hili.
2. Saratani ya matiti.
Kwa akina mama kuna tatizo kubwa la saratani ya aina hii yaani saratani ya matiti hasa kwa akina Mama ambao hawanyonyeshi upatwa sana na aina hiii ya saratani ya matiti kwa hiyo ni lazima kutumia majani ya mti wa mstafeli ili kuweza kupunguza aina hii ya saratani.
3. Saratani ya mlango wa kizazi.
Ni mojawapo ya saratani ambayo ushambulia mlango wa kizazi hii saratani imewakumba akina mama wengi na kuweza kusababisha hata wengine kushindwa kupata watoto kwa sababu ya kuwepo kwa Maambukizi kwenye mlango wa kizazi.
4. Saratani ya mapafu.
Hiii ni mojawapo ya saratani ambayo ushambulia sana mapafu na kuweza kusababisha matatizo katika kupumua kwa hiyo ni vizuri kutibu tatizo hili kwa kutumia majani ya mstafeli na mtu anaweza kupona kabisa na kurudia kwenye hali yake ya kawaida.
5. Saratani ya ini.
Hii ni aina ya saratani ambayo ushambulia inii kwa hiyo imo linaweza kushindwa kufanya kazi kwa hiyo ni lazima kabisa kutumia majani haya ya mstafeli ili kuweza kusaidia inn katika kufanya kazi yake vizuri ya kuchuja sumu.
6. Pia majani haya usaidia kwenye saratani ya mdomo.kuna wakati mwingine mdomo upatwa na matatizo mbalimbali kwa hiyo ni vizuri kabisa kuweza kutumia majani ya mstafeli ili kuweza kuepuka matatizo ya kuwepo kwa saratani ya mdomo.
7. Kuwepo kwa saratani ya ulimi.
Kuna wakati mwingine kunakuwepo kwa matatizo mbalimbali kwenye ulimi na matibabu utolewa lakini matokeo hayawi mazuri kwa hiyo kunakuwepo na shida ya saratani kwenye ulimi.
8. Pia kuwepo kwa saratani ya kongosho.
Kwa wakati mwingine panakuwepo na matatizo mbalimbali kwenye kongosho kwa hiyo panakuwepo na matatizo kwenye ku control sukari hali inayosababisha kuwepo kwa saratani ya kongosho.
10. Pia saratani nyingine nyingi zinatibiwa na majani ya mstafeli kwa hiyo ni vizuri kabisa kabla ya kutumia unapaswa kupata matibabu kabisa na kugundua kama ni saratani kweli ndipo uweze kutumia dawa, usitumie dawa ya majani ya mstafeli bila vipimo kwaza, unapaswa kupima na baadae ndio utumie. Kwa hiyo kipindi kijacho nitafundisha namna ya kuandaa dawa hiyo
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiw ana App yetu. Bofya liln hapo chini kuweza ku download
Download NowJe! umeipenda hii post?
Ndio Hapana Save post
Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Topic: Vyakula Main: Post File: Download PDF Share On Facebook or Whatsapp Views 6008
Sponsored links
👉1
Simulizi za Hadithi Audio
👉2
Kitau cha Fiqh
👉3
Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)
👉4
kitabu cha Simulizi
👉5
Madrasa kiganjani
👉6
Kitabu cha Afya
Faida za nazi
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula nazi Soma Zaidi...
Faida za kiafya za kula Bamia
Soma Zaidi...
Vyakula vya kuoambana na mafua
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu vyakula vya kuoambana na mafua Soma Zaidi...
JITIBU KWA KITUNGUU THAUMU: faida za kiafya za kitunguu thaumu
Kitunguu thaumu ni katika viungo vya mboga na chakula. Soma Zaidi...
Faida za kiafya za kula Zaituni
Soma Zaidi...
Faida za kahawa mwilini.
Posti hii inahusu zaidi faida za kahawa mwilini, ni faida ambazo ujitokeza hasa kwa watumiaji wa kahawa. Soma Zaidi...
Kazi za vitamini B na vyakula vya vitamini B
Makala hii inakwenda kukuletea kazi za vitamini B, pia tutajwenda kuona makundi ya vitamini B na kazi za kila kundi. Pia makala hii inakwenda kukufundisha vyanzo na vyakula vya vitamini B. Utajifunza pia kazi kuu za vitamini B kwa ujumla wake. Soma Zaidi...
AINA KUU ZA VYAKULA: vyakula vya protini, wanga, fat na mafuta, vitamini, madini na maji
Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote Soma Zaidi...
Faida za kiafya za kula Mbegu za papai
Soma Zaidi...
Faida za kula nazi
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula nazi Soma Zaidi...