Faida za mbegu za maboga

Faida za mbegu za maboga

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za mbegu za maboga

Faida za mbegu za maboga

1. mbegu za maboga zina virutubisho kama protini, fati, vitamini K na madini ya zink, shaba, manganese na manganessium.

2. Zina antioxidant ambazo hulinda seli dhidi ya uharibifu

3. Husaidia kupunguza uwezekano wa kupata saratani

4. Huimarisha afya ya korodani na kibofu

5. Husaidia kuboresha afya ya moyo,

6. Hudhibiti kiwango cha sukari

7. Ni nzuri kwa afya ya mifupa

8. Huzuia tatizo la kuziba kwa choo

9. Huongeza wingi wa mbegu za kiume

10. Husaidia katika kupata usingizi mwororo

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: General Main: Post File: Download PDF Views: 3153

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Kitabu cha Afya     👉2 Simulizi za Hadithi Audio     👉3 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     👉4 web hosting     👉5 ai web app     👉6 Bongolite - Game zone - Play free game    

Post zinazofanana:

Madhara ya kutotibu Maambukizi kwenye mifupa

Posti hii inahusu zaidi madhara ya kutotibu ugonjwa wa Maambukizi kwenye mifupa, kwa hiyo tusipotibu tunaweza kupata madhara yafuatayo.

Soma Zaidi...
Faida za mbegu za papai

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za mbegu za papai

Soma Zaidi...
Afya

Umuhimu was afya na Hindi ya kuitunza afya

Soma Zaidi...
Dalili za ugonjwa wa maambukizi ya bakteria aina ya shigela.

Maambukizi ya bakterial aina ya shigela ni maambukizi ya utumbo unaosababishwa na familia ya bakteria wanaojulikana kama shigella. Ishara kuu ya maambukizi ya shigella ni kuhara, ambayo mara nyingi huwa na damu.

Soma Zaidi...
Dalili za jeraha la kawaida kwenye ubongo.

Posti hii inahusu zaidi jeraha kwenye ubongo hasahasa jeraha la kawaida yaani lisilokuwa kali, ni jeraha ambalo utokana na ajali au kupigwa na kitu chochote kwenye kichwa, zifuatazo ni dalili za jeraha lisilokuwa la kawaida kwenye ubongo.

Soma Zaidi...