Posti hii inahusu zaidi faida za mbegu za maparachichi, kwa kawaida tunajua wazi faida za maparachichi pamoja na faida za maparachichi kuna faida kubwa katika mbegu zake kama tutakavyoona
1. Inazuia seli za mwili kutozeeka mapema.
Kwa sababu ya kuwepo kwa virutubisho mbalimbali kwenye mbegu ya parachichi uzuia seli kutozeeka kwa wakati wake
2. Pia inazuia kupata magonjwa ya moyo.
Kwa watumiaji wengi wa mbegu hizi wameweza kugundua kwamba kwa matumizi sahihi ya mbegu hizi uzuia kupatwa kwa magonjwa ya moyo.
3. Uongeza kinga ya mwili na kupambana na magonjwa mbalimbali.
Kwa matumizi mbalimbali ya mbegu za maparachichi usaidia kuongeza kwa kinga ya mwili.
4. Ni msaada mkubwa kwa kwa watu wenye shida ya unene kwa sababu wengi waliokuwa na uzito mkubwa wameweza kupunguza kwa uzito kwa kiasi fulani.
5. Kutibu Magonjwa mbalimbali ya tumbo.
Mbegu za maparachichi usaidia kutibu matatizo mbalimbali ya tumbo kama vile kuharisha na kuzuia kuzalishwa kwa tindikali inayozidi kiasi tumboni.
6. Uongeza hamu ya tendo la ndoa.
Kwa walio wengi hasa watumiaji wa mbegu za maparachichi wameshuhudia kuongezeka kwa hamu ya tendo la ndoa.
7. Usaidia kwa wenye matatizo ya maumivu ya mifupa na jonti.
Kwa kawaida kwa sababu ya kuwepo kwa matatizo ya mifupa na jonti wengi wametumia wakaponea
8. Ni msaada kwa afya ya ngozi.
Kwa watumiaji wanashuhudia kwamba hali zao za ngozi ziko vizuri.
9. Usaidia kutibu pumu.
Mbegu za maparachichi ni nzuri kwa wale wenye matatizo ya pumu na mfumo wa hewa kwa ujumla.
10. Pia usaidia kwa wenye matatizo ya kifafa,
Kwa wale wenye matatizo ya kifafa wakitumia mbegu hizi za maparachichi wataweza kupona na kuendelea vizuri kabisa.
11. Kwa hiyo kipindi kijacho nitafundisha namna ya kutengeneza dawa hiii ya mbegu za maparachichi.
Je! umeipenda hii post?
Ndio Hapana Save post
Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Download PDF Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1489
Sponsored links
👉1 Kitau cha Fiqh
👉2 Kitabu cha Afya
👉3 Madrasa kiganjani
👉4 kitabu cha Simulizi
👉5 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)
Faida za kiafya za kula mbegu za maboga mwilini
Katika somo hili utakwenda kujufunza faida za kiafya za kula mbegu za maboga katika mwili wako Soma Zaidi...
Faida za kiafya za kula mbegu za mafenesi
Katia post hii utakwend akujifunza namna ambavyo tunaweza kufaidika kwa kula mbegu za mafenesi mwilini. Fenesi ama jackfruit ni moja katika matunda yanayopatikana katika maeneo ya kitropic. Soma Zaidi...
Faida za kiafya za mbegu za mronge/moringa
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za mbegu za mronge/moringa Soma Zaidi...
Faida za mbegu za papai
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za mbegu za papai Soma Zaidi...
Namna ya kuandaa mbegu za parachichi kwa matumizi ya dawa.
Posti hii inahusu zaidi namna ya kuandaa mbegu za maparachichi ili kutumika kama dawa,kwa sababu ya kuwepo kwa tiba kutokana na mbegu hii ni vizuri kujua maandalizi. Soma Zaidi...
Faida za kiafya za kula mbegu za matango
Katika somo hili utakwenda kujifunza faida za kiafya za kula mbegu za matango Soma Zaidi...
Faida za kiafya za kula mbegu za nyanya
Katika makala hii utakwenda kuzijuwa faida za kiafya za kula mbegu za nyanya. Makala hii itakufundisha kwa nini sio vyema kutupa mbeguza nyanya Soma Zaidi...
Faida za mbegu za maparachichi.
Posti hii inahusu zaidi faida za mbegu za maparachichi, kwa kawaida tunajua wazi faida za maparachichi pamoja na faida za maparachichi kuna faida kubwa katika mbegu zake kama tutakavyoona Soma Zaidi...
Naomba mnielekeze jinsi ya matayarisho ya Mbegu za papai mpaka nianze kuzitumia kama tiba
Mbegu za papai ni katika baadhi ya mbegu ambazo hutumika kama dawa, na tunda lake ni katika matunda yenyevirutubisho vingi sana. Mbegu za papai zinatumka kwa matumizi mengi sana kiafya. Je ungependa kujuwa faida za papai na jinsi ya kuandaa mbegu zake kam Soma Zaidi...
Faida za kiafya za kula mbegu za matikiti
Katika post hii utajifunza faida za kula mbegu za tikiti. Baada ya post hii utajifunza kuwa mbegu za tikiti hazitupwi. Soma Zaidi...
Faida za kiafya za kula mbegu za pipilipi
Katika somohili utakwenda kujifunzafaida za kiafya za kula mbegu za pilipili. Hapa ttunazunumzia pilipili kwaujumla bila kujali ni aina gani ya pilipili. Soma Zaidi...
Faida za mbegu za papai
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za mbegu za papai na umuhimu wake kiafya Soma Zaidi...