image

Faida za ubuyu

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula ubuyu

faida za kiafya za ubuyu

1. ubuyu una virutubisho kama vitamini C na B, pia ubuyu una madini ya calcium, chuma, potassium na magnesium. Pia ubuyu una protini na fati

2. Husaidia katika kupunguza uzito

3. Husaidia kudhibiti kiwango cha sukari kwenye damu

4. Hupunguza uwezekano wa kupata maradhi ya saratani na kisukari

5. Husaidia mwili kupambana na mashambulizi ya mara kwa mara

6. Huborsha mfumo wa mmeng’enyo wa chakual

7. Husaidia mwili kujilinda dhidi ya maradhi ya moyo

8. Hulinda utumbo na tumbo dhidi ya vidonda vya tumbo





           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1454


Sponsored links
👉1 kitabu cha Simulizi     👉2 Kitau cha Fiqh     👉3 Kitabu cha Afya     👉4 Madrasa kiganjani    

Post zifazofanana:-

Faida za kula Faida za kula Boga
Makala hii inakwenda kukueleza faida za kula maboga, na mbegu zake kwa afya yako Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kula Ukwaju
Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kula mayai
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula mayai Soma Zaidi...

Faida za kiafya za parachichi
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula parachichi Soma Zaidi...

Vyakula vyenye protini kwa wingi
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu vyakula vyenye protini kwa wingi Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kula kungumanga
Soma Zaidi...

VYAKULA HATARI KWA VIDONDA VYA TUMBO
Hivi ni vyakula hatari kwa vidonda vya tumbo. mwenye vidonda vya tumbo hatakiwi kula vyakula hivi Soma Zaidi...

Vyakula vya fati
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu aina za vyakula vya fati na umuhimu wake mwilini Soma Zaidi...

Vyakula vya vitamin C
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za vyakula vya vitamin C Soma Zaidi...

Zijuwe faida za kula njegere
zijuwe faida za kula njegere kiafya na umuhimu wa kula jegere pia jifunze njegere zina kazi gani mwilini? Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kula kitunguu maji
Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kula passion
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula passion Soma Zaidi...