Faida za vidonge vya antroextra

Posti hii inahusu zaidi faida za vidonge vya antroextra, ni vidonge kwa ajili ya mifupa, viungo na gegedu, hivi vidonge vimetumiwa na watu wengi na matokeo yake ni mazuri sana, kwa hiyo zifuatazo ni faida za vidonge hivi.

Faida za vidonge vya antroextra.

1. Faida ya kwanza ni kuboresha sehemu zilizoumia kwenye mwili, kama Kuna aina yoyote ya maumivu vidonge hivi uweza kuboresha sehemu hizo.

 

2. Uondoa maumivu ya ugonjwa wa mifupa (osteomyelitis) na uchakavu wa mifupa, kwa kawaida kama Kuna shida yoyote kwenye mifupa na hasa kuchakaa kwa mifupa dawa hii usaidia Sana.

 

3. Uimarisha mpishano wa mifupa.

Kuna wakati mwingine mifupa inakuwa imepishana na kutoka kwenye sehemu yake ya kawaida kwa hiyo vidonge hivi uboresha mipishani ya mifupa na kuwa kawaida kabisa.

 

4. Uongeza virutubisho muhimu kwenye mifupa.

Kwa kawaida kwenye mifupa huwa Kuna virutubisho muhimu ambavyo usaidia mifupa kuweza kufanya kazi yake kwa ubora zaidi kwa hiyo dawa hizi uongeza virutubisho muhimu kwenye mifupa.

 

5. Usaidia kurainisha tissue ambazo zimezunguka mifupa,

Kwa kawaida Kuna tissue mbalimbali ambazo uzunguka mifupa tissue hizo Kuna kipindi zinakakamaa na kusababisha maumivu makali wakati wa kutembea kwa hiyo dawa hii urainisha tissue kwenye mifupa.

 

6. Usaidia kuzalisha Ute kwenye maungo.

Kwa kawaida dawa hii ni msaada mkubwa katika kuzalisha Ute kwenye maungo, kwa sababu Kuna wakati mwingine mifupa ukosa Ute ila kwa kuwepo kwa dawa hii usaidia Ute kuendelea kuzalishwa zaidi.

 

7. Usaidia wazee kuwa na kinga ya magonjwa ya mifupa.

Kwa kawaida wazee wako hatarini kupata matatizo mbalimbali ya ugonjwa wa mifupa kwa hiyo usaidia Sana wazee Ili kuweza kuwa na kinga kwenye magonjwa ya mifupa.

 

8. Usaidia kupona haraka kwa cartilage zilizoharibika.

Kwa kawaida Kuna matatizo mbalimbali ya kartilage kwa hiyo kama zimepata shida yoyote usaidia kupona haraka kwa hizo cartilage.

 

9. Uondoa maumivu ya viungo na mgongo.

Kwa kawaida Kuna matatizo mbalimbali ambayo utokea kwa kuwepo kwa maumivu kwenye viungo na mgongo kwa matumizi ya mara Kwa mara ya dawa hii usaidia kuondoa maumivu ya mgongo na magoti.

 

1o. Pia dawa hii ni nzuri sana kwa wanawake waliokoma hedhi.

Kwa kawaida wanawake wakikoma hedhi uwa na mambo mbalimbali kama vile maumivu ya magoti, mgongo na viungo kwa ujumla.

 

11. Pia ni nzuri kwa waliosagika pingili za mgongo.

Kwa sababu hili ni tatizo kubwa ambapo linawakumba watu wengi siku hizi kwa hiyo kwa wenye matatizo haya ni vizuri kabisa kutumia dawa hii Ili kuweza kuepukana na maumivu kwenye pingili

 

12. Pamoja na matumizi ya dawa hii ni vizuri kabisa kutumia dawa hii kwa ushauri wa wataalamu wa afya sio kuzitumia kiholela kwa sababu Kuna uwezekano wa kupata shida ikiwa umetumia dawa hii bila moangilio na kiholela.Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/07/10/Sunday - 05:46:42 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1143


Download our Apps
👉1 Kitau cha Fiqh     👉2 Madrasa kiganjani     👉3 kitabu cha Simulizi     👉4 Kitabu cha Afya    

Post zifazofanana:-