image

Funga za kafara

Nguzo za uislamu (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu)

    -    Ni funga anazolazimika muislamu kufunga ili ziwe kitubio au fidia baada ya kutenda  kosa fulani.

 

  1.   Kufunga miezi miwili mfululizo kwa muislamu aliyemuua mtu kwa bahati mbaya na akakosa mali ya kulipa fidia.

Rejea Qur’an (4:92).

  1.   Kufunga miezi miwili mfululizo kwa muislamu aliyemsusa mkewe kwa kumfananisha na mama mzazi wake.

Rejea Qur’an (58:1-4).

 

  1.   Kufunga siku tatu mfululizo kama kafara kwa muislamu aliyevunja kiapo.

Rejea Qur’an (5:89).

 

  1.    Kufunga miezi miwili mfululizo kwa mume na mke waliofanya jimai (tendo la ndoa) mchana wa mwezi wa Ramadhani.

 

  1.    Kufunga kama kitubio cha muislamu aliyewinda na hali yuko katika Ihram.

-    Idadi ya siku inategemea na thamani ya kile alichokiua (alichokiwinda).

-    Kama hana uwezo wa kufunga, atatoa fidia ya mbuzi au kondoo.

      Rejea Qur’an (5:95).

 

  1.    Kufunga siku 10, tatu akiwa Makkah na 7 baada ya kurejea nyumbani kwa muislamu aliyevunja miiko ya Ihram.

-    Kama hana uwezo wa kufunga, atafidia kwa kuchinja mbuzi au kondoo.

Rejea Qur’an (2:196).






           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Topic: Fiqh Main: Post File: Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1973


Sponsored links
👉1 Simulizi za Hadithi Audio     👉2 Madrasa kiganjani     👉3 Kitabu cha Afya     👉4 kitabu cha Simulizi     👉5 Kitau cha Fiqh     👉6 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)    

Post zifazofanana:-

nguzo za uislamu: Kutoa zaka, lengo la kutoa zaka na faida zake
Kutoa Zakat. Soma Zaidi...

Twahara
FIQH 1. Soma Zaidi...

Je ni zipi nguzo za uislamu, na ni ngapi nguzo za uislamu?
Post hii itakujuza maana ya uislamu na nguzo zake. Soma Zaidi...

Yanayofaa kwa maamuma katika kumfata imamu kwenye swala ya jamaa
Soma Zaidi...

Nini maana ya riba, na yapi madhara yake?
8. Soma Zaidi...

Lengo la funga linavyofikiwa
Nguzo za uislamu (EDK form 3: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

Mambo ambayo hayafunguzi funga
Hii ni orodha ya mambo ambayo hayawezi kuharimu funga yako endapo utayafanya. Soma Zaidi...

Hoja juu ya hitajio la kuzibiti uzazi na uzazi wa mpango
Soma Zaidi...

Namna ya kutayamamu hatuwa kwa hatuwa
Post hii inakwenda kukufundisha kuhusu jinsi yavkutayamamu. Soma Zaidi...

Milki ya raslimali katika uislamu
Milki ya RasilimaliIli kujipatia maendeleo ya kiuchumi katika zama zote mwanaadamu anahitaji rasilimali za kumwezesha kufikia azma hiyo. Soma Zaidi...

Namna ya kuoga josho, kujitwaharisha damu ya Hedhi, damu ya kuzaa Nifasi na Janaba
Soma Zaidi...

namna ya kuswali 6
Lugha ya Swala Lugha ya swala,kuanzia kwenye Takbira ya kuhirimia Swala mpaka kumalizia swala kwa Salaam, ni Kiarabu. Soma Zaidi...