picha

KUMTOROSHA MFUNGWA GEREZANI

Chemshabongo, Je? ungelikuwa ni w ewe ungetorokaje gerezani?

KUMTOROSHA MFUNGWA GEREZANI

Je utatorokaje Gerezani

imageimage

Mnamo mwaka 1678 Kitui alipewa majaribio pindi alipopatwa na hatia ya wizi. Baada ya kesi alipelekwa gerezani kifungo kisicho na mwisho. Ila alipewa siku tatu za kutoka gerezani. Hakupewa chakula wala maji. Kitu pekee alichopewa ni chepe tu. Kama unavyoona kwenye picha. Pia chumba cha gereza kilikuwa kidogo kikiwa na dirisha moja tu dogo lenye upenyo mdogo wa kupita na kwa nyuma limezungukwa na bahari.

Chumba kilikuwa ni kirefu hivyo asingeweza kupanda. Urefu wa ukuta mpaka kufikia nkadirisha ni mita 5. cha chini ukuta umekwenda umbali wa mita tano, hivyo asingeweza kutoroka kwa kupitia chini. Kitui alitakiwa atoroke ndani ya siku tatu si hivyo angepoteza maisha. Je! Ungelikuwa ni wewe ungefanya nini? Tumia maarifa uliyo nayo kuweza kutoroka gerezani


                   

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu image Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Chemshabongo Main: Post File: Download PDF Views 1475

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Kitau cha Fiqh     👉2 web hosting     👉3 Madrasa kiganjani     👉4 Tafasiri ya Riyadh Swalihina     👉5 ai web app     👉6 Kitabu cha Afya    

Post zinazofanana:

game

Karibu kwenye uwanja wa Game.

Soma Zaidi...
SIRI

Kutoka kwenye usingizi mzito unaamka, Haujui nini kimetokea (uenda ukawa umepoteza kumbukumba).

Soma Zaidi...