Toroka gerezani

Toroka gerezani

utaokoka vipi gerezani?

Toroka gerezani

Jibu la swali

imageimage

Kwa kutumia chepe alilo nalo anaweza kuchimba udongo na kuukusanya. Udongo huo ukiwa mwingi ataweza kuuparamia na hatimaye kulipata dirisha kwa urahisi. Ukuta ni mrefu lakini kwa kuwa nje kuna bahari. Ataweza kuruka kupitia dirishani na kuingia baharini, kwa kuogelea ataweza kuokoka kwa urahisi bila ya kuumia.

Endelea kupata chemshabongo zaidi kwetu.


                   

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Chemshabongo Main: Post File: Download PDF Views: 1747

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Kitau cha Fiqh     👉2 Madrasa kiganjani     👉3 web hosting     👉4 Dua za Mitume na Manabii     👉5 kitabu cha Simulizi     👉6 Kitabu cha Afya    

Post zinazofanana:

SIRI

Kutoka kwenye usingizi mzito unaamka, Haujui nini kimetokea (uenda ukawa umepoteza kumbukumba).

Soma Zaidi...
game

Karibu kwenye uwanja wa Game.

Soma Zaidi...
Chemsha bongo

learn English Vocabulary

Soma Zaidi...