Chemsha bongo namba 14

Chemsha bongo namba 14

12.

Chemsha bongo namba 14

Chemsha bongo 14

imageimage
12.Miguu 9
Watoto wa kidato cha sita waliulizwa swali na mwalmu wao katika somo la kiswahili. Swali lilikuwa hivi: “Asubuhi natembea na miguu minne, mchana natembea na miguu miwili na usiku natembea na miguu mitatu. Je! Mimi ni nani?

Jibu
Mtoto akiwa mdogo hutambaa kwa miguu miwili na mikono miwili. Lakini akiwa mkubwa hutembea na miguu miwili tu na anapozeheka kutumia bakora kama mguu wa tatu kumsaidia kutembea.


                   

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Chemshabongo Main: Post File: Download PDF Views: 4540

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Dua za Mitume na Manabii     👉2 kitabu cha Simulizi     👉3 Tafasiri ya Riyadh Swalihina     👉4 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     👉5 Simulizi za Hadithi Audio     👉6 Kitau cha Fiqh    

Post zinazofanana:

SIRI

Kutoka kwenye usingizi mzito unaamka, Haujui nini kimetokea (uenda ukawa umepoteza kumbukumba).

Soma Zaidi...