picha

Chemsha bongo namba 15

24.

Chemsha bongo namba 15

Chemsha bongo 10

imageimage
24.Mirathi
Kulikuwa na mzee mmoja na watoto wake watatu. Mzee huyu alikuwa na mali nyingi sana. Akatamani amrithishe mali zile mtoto wake ambaye atakuwa na busara zaidi. Basi akawaita wanawe na kuwapa chemshabongo, na kuwa atakayeshinda ndiye ambaye atarithishwa.

Aliwapa sarafu 2 za shilingi mia mbili na kuwataka wanunue kitu cha kujaza chumba kizima kwa pesa zile. Basi mtoto wa kwanza akaleta mikate ambayo haikujaa hata kwenye bakuli. Wa pili akaleta makaratasi ambayo hayakujaa chumbani. Mtoto wa tatu akaleta kitu . na mzee akamchaga huy wa tatu. Unadhani ni kitu gani mtoto huyu alileta?

Jibu
Alileta kibiriti, ulipofika usiku aliwasha njiti ya kibiriti na chummba kizima kikajaa mwanga.


                   

Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu image Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Chemshabongo Main: Post File: Download PDF Views 2859

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Dua za Mitume na Manabii     👉2 Madrasa kiganjani     👉3 web hosting     👉4 Bongolite - Game zone - Play free game     👉5 Kitabu cha Afya     👉6 Kitau cha Fiqh    

Post zinazofanana:

Chemsha bongo namba 05

Ashumu upo kwenye chumba kimoja kikubwa sana, hakina milango wala madirisha.

Soma Zaidi...
Chemsha bongo

learn English Vocabulary

Soma Zaidi...
SIRI

Kutoka kwenye usingizi mzito unaamka, Haujui nini kimetokea (uenda ukawa umepoteza kumbukumba).

Soma Zaidi...