picha

Chemsha bongo namba 20

17.

Chemsha bongo namba 20

Chemsha bongo 20

imageimage
17.John na Ngazi
John alikuwa akifanya kazi ya kupandisha mizigo juu. Alikuwa akkipanda kwa kutumia ngazi yenye urefu wa futi 24. Siku moja mvua ilinyesha hivyo ikawa ngazi inateleza sana.

Wakati anapanda kwa bahati mbaya akaanguka kutoka kwenye ngazi mpaka chini. Jambo la kushangaza hakuumia hata kidogo. Unadhani hii imewezekanaje?

Jibu
Ni kwa sababu alianguka kwenye kidato cha kwanza cha ngazi, naani chini kabisa.


                   

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu image Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Chemshabongo Main: Post File: Download PDF Views 5762

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Madrasa kiganjani     👉2 ai web app     👉3 web hosting     👉4 Tafasiri ya Riyadh Swalihina     👉5 kitabu cha Simulizi     👉6 Kitau cha Fiqh    

Post zinazofanana:

Toroka gerezani

utaokoka vipi gerezani?

Soma Zaidi...
game

Karibu kwenye uwanja wa Game.

Soma Zaidi...