HABARI NILITAKA KUJUA KUHUSU UGONJWA WA FUNGUSI KWENYE UUME


image


Je na wewe unasumbuliwa na fangasi wenye uume. Post hii ni kwa ajili yako.


Swali: 

🍆 Habari nilitaka kujua kuhusu ugonjwa wa fungusi kwenye uume🍆

 

Jibu: ✏️

Kwanza ungezitambua dalili za fangasi hao.  Huwenda unahisi no fangasi kunbe sio. Wacha kwanza tuzione dalili za fabgasi kwenye uume: 

👉 Kuwashwa

👉 Kutokwa na uchafu

👉 Kubabuka kwa ngozi ya uume

👉 Ngozi ya uume kuwa na rangi tofautitifauti

👉 Kutokwa na mabakomabako kwenye ngozi ya uume

👉 Kuoatwa na maumivu wakati wa tendo la ndoa na baada. 

 

🚑 Matibabu: 

Fika kituo cha afya upate vipimo na dawa.  Ama fika duka la dawa mwambie akupatie dawa za fangasi. 



Sponsored Posts


  👉    1 Hadiythi za alif lela u lela       👉    2 Mafunzo ya php       👉    3 Mafunzo ya html kwa kiswahili       👉    4 Maktaba ya vitabu       👉    5 Magonjwa na afya       👉    6 Jifunze fiqh    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Dalilili za polio
Polio ni ugonjwa wa virusi unaoambukiza ambao katika hali mbaya zaidi husababisha kupooza, kupumua kwa shida na wakati mwingine kifo. Soma Zaidi...

image Dalili za upungufu wa maji mwilini.
Upungufu wa maji mwilini hutokea unapotumia au kupoteza Majimaji mengi zaidi ya unayonywa, na mwili wako hauna maji ya kutosha na Majimaji mengine ya kufanya kazi zake za kawaida. Usipochukua nafasi ya Vimiminika vilivyopotea, utapungukiwa na maji. Soma Zaidi...

image Dalili za madonda ya koo
Posti hii inahusu zaidi magonjwa ya koo, ni ugonjwa unaoshambulia sana sehemu ya koo la hewa, na na huwa na dalili zake kama ifuayavyo. Soma Zaidi...

image Dalili za saratani ya kwenye Njia ya haja kubwa.
Saratani ya kwenye Njia ya haja kubwa ni aina isiyo ya kawaida ambayo kitaalamu hujulikana Kama saratani ya mkundu.Mfereji wa mkundu ni mirija fupi iliyo mwisho wa puru yako ambayo kinyesi hutoka mwilini mwako. Saratani ya kwenye Njia ya  haha kubwa inaweza kusababisha dalili nkama vile kutokwa na damu kwenye njia ya haja kubwa na maumivu. Soma Zaidi...

image Dalili za moyo kushindwa kufanya kazi (heart failure)
post inaonyesha dalili mbalimbali za Kushindwa kwa moyo, wakati mwingine hujulikana kama kutofaulu kwa moyo, hutokea wakati misuli ya moyo wako haisukuma damu kama inavyopaswa. Hali fulani, kama vile ateri nyembamba katika moyo wako (Ugonjwa wa ateri ya Coronary) au shinikizo la damu, hatua kwa hatua huacha moyo wako dhaifu sana au mgumu kujaza na kusukuma kwa ufanisi. Soma Zaidi...

image Zijue sababu za kushindwa kushuka kwa makende (testicle))
Posti hii inahusu zaidi tatizo la kushindwa kushuka kwa makende kutoka kwenye tumbo kwenda kwenye skolatumu(scrotum). Soma Zaidi...

image Madhara ya ulevi
Poshi hii inahusu madhara ya ulevi.Utegemezi wa pombe kwa kawaida humaanisha kuwa mtu anatumia kiasi kikubwa cha pombe na kuna masuala kuhusu kupoteza udhibiti. Soma Zaidi...

image Dalili za maambukizi kwenye figo
Posti hii inazungumzia kuhusiana na Maambukizi kwenye figo (pyelonephritis) ni aina mahususi ya maambukizi ya njia ya mkojo (UTI) ambayo kwa kawaida huanza kwenye urethra au kibofu chako na kusafiri hadi kwenye figo zako. Soma Zaidi...

image Je mjamzito Uchungu ukikata inakuwaje
Hutokea uchungu wa kujifunguwa ukakati. Unadhani ni kitugani kinatokea. Soma Zaidi...

image Dalili za saratani ya damu au uboho.
posti hii inahusu dalili za aratani ya damu au ubobo ambayo kwa jina lingine hujulikana Kama Acute lymphocytic Leukemia (ALL) ni aina ya Saratani ya damu na uboho tishu zenye sponji ndani ya mifupa ambapo seli za damu hutengenezwa. Soma Zaidi...