Hadithi Ya 27: Uadilifu Ni Tabia Nzuri

Hadithi Ya 27: Uadilifu Ni Tabia Nzuri

Hadithi Ya 27: Uadilifu Ni Tabia Nzuri

Hadithi Ya 27: Uadilifu Ni Tabia Nzuri

الحديث السابع والعشرون

"البر حسن الخلق"

 

عن النّوَّاسِ بْنِ سَمْعَانَ رضيَ اللهُ عَنْهُ عن النَّبي صلى الله عليه وسلم قَالَ: ((الْبِرُّ حُسْنُ الْخُلُقِ، وَالإِثْمُ مَا حاكَ في نَفْسِكَ وَكَرِهْتَ أَنْ يَطَّلِعَ عَلَيْهِ النَّاسُ))

  رَوَاهُ مُسْلِمٌ  .

وعن وَابصَةَ بْنِ مَعْبَدٍ رضي اللهُ عَنْهُ قالَ:   قالَ رَسُولَ اللهِ صلى الله عليه وسلم   ((جِئْتَ تَسأَلُ عَنِ الْبِرِّ؟))  . قُلْتُ: نَعَمْ.  قَالَ: ((اسْتَفْتِ قَلْبَكَ، الْبِرُّ مَا اطْمَأَنَّتْ إلَيْهِ النَّفْسُ وَاطْمَأَنَّ إلَيْهِ الْقَلْبُ، وَالإِثْمُ مَا حاكَ في النَّفْسِ وَتَردَّدَ في الصَّدْرِ وَإنْ أَفْتَاكَ النّاسُ وَأَفْتَوْكَ))

 

حَدِيثٌ حَسَنٌ، رَوَيْنَاهُ في مُسْنَدَي الْإِمَامَيْنِ أَحْمَدَ بْنِ حَنْبَلٍ   وَالدَّارِمِيّ   بِإِسْنَادٍ حَسَنٍ. 

 


 

HADITHI YA  27 UADILIFU NI  TABIA NZURI

 

Kutoka kwa An-Nawwaas Ibn Sam'aan رضي الله عنه  ambaye alisema kuwa Mtume صلى الله عليه وسلم  kasema:

Uadilifu  ni tabia nzuri na udhalimu ni kile kitu ambacho huyumbayumba (chenye mashaka) katika nafsi yako na hupendelei watu kukitambua.  

Imesimuliwa na Muslim

Na kutoka kwa Waabisah Ibn Ma'abad رضي الله عنه  ambaye alisema:

Nilikuja kwa Mtume صلى الله عليه وسلم naye akasema: 

Umekuja  kuuliza juu  uadilifu? Nikasema: Ndio . Akasema:  Ushaurishe  moyo wako. Uadilifu ni kile ambacho nafsi yako inakihisi shwari na moyo wako pia unahisi shwari, na udhalimu ni kile kinachoyumbayumba katika nafsi na kwenda na kurudi kifuani ijapokuwa watu wamekupa shauri lao la kisheria (kukipendelea).



                   

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Sunnah Main: Post File: Download PDF Views: 2736

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Simulizi za Hadithi Audio     👉2 Dua za Mitume na Manabii     👉3 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     👉4 Kitabu cha Afya     👉5 kitabu cha Simulizi     👉6 Madrasa kiganjani    

Post zinazofanana:

AINA ZA HADITHI

Aina za HadithKuna aina kuu mbili za Hadith- (a) Hadith Nabawiyyi.

Soma Zaidi...
TANZU ZA HADITHI

Tanzu za Hadith(1) Tanzu ya UsahihiKulingana na kiwango cha usahihi wa Hadith, Hadith zimegawanywa katika makundi makuu manne:(a) Sahihi (b) Hasan/Nzuri.

Soma Zaidi...