HADITHI YA. 28 NAKUUSIENI KUMCHA ALLAAH NA TABIA NJEMA

HADITHI YA. 28 NAKUUSIENI KUMCHA ALLAAH NA TABIA NJEMA

Hadithi Ya 28: Nakuusieni Kumcha Allaah Na Tabia Njema

' ' '

"' ' ' ' '"

' ' ' ' ' ' ' ' ' ': ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ': ' ' ' ' ' ' '. ':

((' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' '  ' ' '  ' '  ' ' ' '))  

' ' ' ' ' ': ' ' '. 

 


HADITHI YA. 28 NAKUUSIENI KUMCHA ALLAAH NA TABIA NJEMA

Kutoka kwa Abu Najiih Al 'Irbaadh Ibn Saariyah ' ' '  ambaye alisema kwamba:

Mtume ' ' ' '  alituhutubia  hutuba ambayo nyoyo zetu zilijaa hofu na macho yetu yalitutoka machozi.  Tukasema: Ewe Mjumbe wa Mwenyeezi Mungu!, inaonyesha kama kwamba hii ni hutuba  ya kuaga, kwa hivyo tuusie.  Akasema (Mtume ' ' ' '  )  nakuusieni kumcha Allaah ' '  na kumtii kiongozi wenu hata akiwa mtumwa.  Yule atakayeishi (muda mrefu) ataona ikhtilaaf nyingi (migongano), kwa hivyo fuateni mwendo wangu (Sunnah) na mwendo wa Makhalifa walioongoka (Makhalifa wanne). Shikamaneni nazo kwa magego (kwa nguvu).  Na tahadharini na mambo mapya yanayozuliwa kwani kila jambo jipya ni uzushi, na kila uzushi ni upotofu, na  kila upotofu unapeleka motoni.

 

Imesimuliwa na Abu Dawuud na At Tirmidhi na wamesema ni Hadithi Hasan na Sahihi.



                   



Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2018-08-01     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 162


Download our Apps
👉1 Madrasa kiganjani     👉2 Kitau cha Fiqh     👉3 kitabu cha Simulizi     👉4 Kitabu cha Afya    

Post zifazofanana:-

HISTORIA YA NABII YUNUS
Soma Zaidi...

tarekh 5
KUZALIWA KWA MTUME (S. Soma Zaidi...

Kuamini Qadar ya Allah (s.w)
Soma Zaidi...

KUAMINI MALAIKA WA ALLAH (S.W.)
Soma Zaidi...

Vita vya Uhud na sababu ya kutokea kwake, Mafunzo ya Vita Vya Uhud
Vita vya Uhudi. Soma Zaidi...

Mambo ya kuzingatia kabla ya kugawanya urithi
Soma Zaidi...

Hadithi inayokataza bidaa (bid's) uzushi katika dini
' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ': ': ' ' ' ' ' ' ' "... Soma Zaidi...

Sifa za Waumini zilizotajwa katika surat Ahzab
Bila shaka wanaume wenye kufuata vizuri nguzo za Uislamu, na wanawake wanaozifuata vizuri nguzo za Uislamu, na wanaume wanaoamini vizuri nguzo za Imani, na wanawake wanaoamini vizuri nguzo za Imani, na wanaume wanaotii, na wanawake wanaotii, na wanaume wa Soma Zaidi...

Kushuka na kuhifadhiwa kwa quran, hatua kwa hatua: mafunzo ya baadhi ya sura za quran
QUR'AN 5. Soma Zaidi...

Fadhila za surat al-fatiha na sababu za kushuka kwake
1. Soma Zaidi...

Hadithi Ya 30: Allaah Amefaridhisha Mambo Ya Dini Tusiyapuuze
Soma Zaidi...

Muhutasari wa sifa za wanafiki
Kwa kuzingatia aya zote tulizozipitia juu ya wanafikitunaweza kutoa majumuisho ya sifa za wanafiki kama ifuatavyo:- (1)Hutenda kinyume cha imani wanaodai kuwa nayo. Soma Zaidi...