picha

Hadithi Ya 30: Allaah Amefaridhisha Mambo Ya Dini Tusiyapuuze

Hadithi Ya 30: Allaah Amefaridhisha Mambo Ya Dini Tusiyapuuze

Hadithi Ya 30: Allaah Amefaridhisha Mambo Ya Dini Tusiyapuuze

الحديث الثلاثون

"إن الله تعالى فرض فرائض فلا تضيعوها"

عَنْ أَبيِ ثَعْلَبَةَ الخُشَنِيِّ جُرْثُومِ بْن نَاشرٍ رضي الله عنه    عَنْ رَسُولِ اللهِ صلى الله عليه    وسلم    قَالَ:

(( إنّ اللهَ تَعَالى فَرَضَ فَرَائِضَ فَلاَ تُضَيّعوهاَ وَحَدَّ حُدُودَاً فَلاتَعْتَدُوهَا وَحَرّمَ أَشْياءَ فَلاَتَنْتَهِكُوهَا وَسَكَتَ عَنْ أَشْيَاءَ رَحْمَةً لَكُمْ غَيْرَ نِسْيانٍ فَلا تَبْحَثُوا عَنْهَا ))

حَدِيثٌ حَسَنٌ، رَوَاهُ الدَّارَقُطْنِيّ    وَغَيْرُهُ


HADITHI YA 30 ALLAAH AMEFARIDHISHA MAMBO YA DINI TUSIYAPUUZE

 

Kutoka kwa Abu Tha'alaba Al-Khushani Jurthuum Ibn Naashib رضي الله عنه  naye kapokea kwa Mtume صلى الله عليه وسلم :

Allaah سبحانه وتعالى  amefaridhisha mambo ya dini kwa hivyo usiyapuuze.  Vile vile kaweka mipaka usiikiuke.  Amekataza  baadhi ya mambo kwa hivyo usifanye.  Yale aliyoyanyamazia  ni kwa ajili ya huruma  zake kwako wala hakusahau kwa hivyo usiyadadisi. 

Imesimuliwa na Daaraqutni na wengineo .  Hadithi Hasan



                   

Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 2018-08-01 Topic: Sunnah Main: Dini File: Download PDF Views 1121

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
👉1 Tafasiri ya Riyadh Swalihina    👉2 kitabu cha Simulizi    👉3 web hosting    👉4 Simulizi za Hadithi Audio    👉5 Madrasa kiganjani    👉6 Dua za Mitume na Manabii   

Post zinazofanana:

Ijuwe swala ya Mtume na fadhila zake na jinsi ya kumswalia Mtume.

Post hii itakufundisha jinsi ya kumswalia mtume, pamoja na kuzijuwa fadhila unazopata kwa kumswalia Mtume

Soma Zaidi...
AINA ZA HADITHI

Aina za HadithKuna aina kuu mbili za Hadith- (a) Hadith Nabawiyyi.

Soma Zaidi...
JINSI YA KUOMBA DUA ILI IKUBALIWE NA ALLAH

Kukubaliwa kwa dua kunategemea mahusiano yako na Allah. hata hivyo kuna baadhi ya mabo ukiyafanya dua yako inaweza kukubaliwa kwa haraka zaidi. Post hii inakwenda kukufundisha kuhusu jinsi ya kuomba dua ikubaliwe.

Soma Zaidi...
Nafasi ya Sunnah (suna) katika Uislamu.

Hapa utajifunza nafasi ya kufuata suna katika Uislamu

Soma Zaidi...
DUA 85 - 93

SWALA YA MTUME 85.

Soma Zaidi...
DUA ZENYE MANENO HAYA HUJIBIWA

SIFA ZA (MANENO NA MATAMSHI YA) DUA YENYE KUJIBIWA.

Soma Zaidi...