HADITHI YA BINTI WA PILI MWIMBA MASHAIRI MWENYE MAKOVU


image


Posti hii inakwenda kukuletea hadithi za alifu lela ulela


HADITHI YA BINTI WA PILI MWIMBA MASHAIRI MWENYE AKOVU.

basi juwa ewe mfalme wetu kuwa nilikuwa naishi na wazazi wangu na hatimaye wakanitoka na kuniwacha peke yangu. Niliachiwa mali za kunitosheleza kuishi kwa muda mrefu bila ya kuomba. Wate wengi walinisifi kwa uzuri nilio nao ijapokuwa nilihisi wananitania tuu siku nilipokuta na na Zubeidah kwa hakika alikuwa mzuri zaidi. Nili kaa pale nyumbani kwa muda mrefu niliwa peke yangu bila ya mume.

 

Sikumoja alikuja bib mmoja na kuniambia kuwa mjukuu wake anashuhuli na hakuna mtu wa kumsimamia shuhuli yake hivyo akanitaka niwe kama msimamizi wa mambo ya wananwake kwenye shuhulu hiyo. Basi niliongozana na bibi yule hata tukafika mwenye shuhuili ile na mambo yakaenda salama. Ilikuwa ni shuhuli ya kuwakumbuka walotanguluia kufa kama kawaida ya waislamau wanavyoifanya mjini pale. Basi shuhuli ilipokwisha yule bibi akaniita katika chumba cha ndani na bila ya kuwa na wasiwasi nikaenda. Kufika kule ndani nikakutana na kijana mmoja aliyekuwa mtanashati na katika mazungumzo akaniposa na mimi nikakubali. Kumbe lile ndo lilikuwa lengo la yule bibi toka mwanzo.

 

Basi maandalizi ya harusi yalifanyika na nikaolewa mwezi ulofata. Kwa hakika ndoa yetu ilikuwa ni njema na haina migigoro kwa muda wa miezi sita ya mwanzoi. Ama mimi sikuruhusiwa kutoka nje, hata sikuhiyo niikaomba ruhusa ya kuenda sikoni kununua mahitaji yangu binafsi na mume wangu akaniruhusu. Kule sokoni wakati narudi anilikutana na mlevi mmoja na tulipokuwa tunapishana akaning’ata kwenye shavu. Kumbe alikuwa ni mmtoto wa baba yangu mdogo ambaye nilimkatalia kunioa aliponiposa.

 

Wakati haya yote yanafanyika mume wangu alikuwa amejibanza na alikuwa anaona. Na pia alitambua pika kuwa yule alikuwa nai mtoto wa baba yangu mdogo. Na alidhani kuwa ni mzinifu mwenzangu nilipokuwa naishi peke yangu kumbe sivyo. Basi niliporudi nyumbani akaniuliza sababu ya kidonda kwenye shavu langu nikamjibu nimegongana na mkokoteni, basi akasema nitamtafuta huyo mwenye mkokoteni na nitamua, nikamwambia usimuue mtu asiye na hatia kwani ni ajali tu.

 

Basi akanikaba shingoni na kuniuliza kwa zaidi sababu ya kidonda kule na kunmbia anajua nimeng’atwa na mzuiinifu mwenzangu wa zamani basi akaamrisha nikakamatwa vizuri na na akaanza kinipiga fimbo za mijeledi mpkaka nikapoteza fahamu. Nilipozinduka akanifukuza na pale kwake na kufika nyumbani kikakuta nyumba yangu ameobomoa bomoa a nikakutana na Zubeidah kwa mara nyingine na kukubaliana kuishi pamoja. Niliendelea kuuguza vidonda vyangu hata nikapona na kubakia makovu ndio uloyaona. Hii ndia hadithi yangu ewe mfalme.

 

Basi mfalme akamgeukia Sadie na kumwambia azungumze hadithi yake na kusema kuwa yeye alikuwa ni mtoto yatima ombaomba ambaye alikutana na Zubeidah na kumkirimu kama dada yake na nikamkuta min anaishi nae pia, hatukuwahi kuzungumza hadithizetu kama hivi. Hivyo hii ndio hadithi yangu ewe mtukufu muadilifu mfalme wa Baghdad; harun Rashid.

 

Baada ya kusikiliza hadithi za mabinti hawa, Mfalme nae akaamua kufungua mdomo wake kwa kuwauliza maswali “hivi mnafikiri kuwa kila mtu ana hadithi za kusisimua katika yale yalowapata kwenye maisha?” Zubeidah akajibu “naam kwa hakika ana kila mmoja hadithi ya kusisimua katika maisha yake, aaanhaa nadiriki kusema hata wewe Mfalme unayo yako ijapo hatuwezi kukwambia utueleze”. Mfalme alimuangalia sana Zubeidah kisha akasema “naam hata mimi na waziri wangu tuna hadithi yetu, na leo nitaisimulia kwenu hadithi ambayo katu hatujawahi lkuisimulia.” basi Mfalme nae akaanza kufungua mdomo kwa kusimulia hadithi yake.



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Magonjwa na afya       ðŸ‘‰    2 Mafunzo ya php       ðŸ‘‰    3 Mafunzo ya html kwa kiswahili       ðŸ‘‰    4 Hadiythi za alif lela u lela       ðŸ‘‰    5 Jifunze fiqh       ðŸ‘‰    6 Maktaba ya vitabu    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Nje ya jumba la kifahari la aladini
Posti hii inakwenda kukupa muendelezo wa hadithi ya aladini na taa ya ajabu Soma Zaidi...

image WAKATI WA KUFUMBUKA
Post hii ni mwendelezo wa hadithi inayohusu Kufumbuka ambapo , John anaonekana kama sio mtoto wa Mzee maganga kwa sababu na miungu imekili kwa sababu chakula chote kimeliwa na kuisha. Soma Zaidi...

image Hadithi ya mvuvi na jini
Posti hii inakwenda kukuletea hadithi za alifu lela ulela Soma Zaidi...

image Usaliti unaanza hapa
Posti hii inakwenda kukuletea hadithi za alifu lela ulela Soma Zaidi...

image USALITI (sehemu ya tatu)
Post hii ni mwendelzo wa hadithi ya ukweli ambayo imetokea siku sio nyingi jinsi Moses alipoacha kumwoa Rhoda naye akachanganyikiwa takribani miaka kama mitano hivi. Soma Zaidi...

image Hasara za wivu na kutokuwa wazi (sehemu ya 4)
Posti hii inaendelea kuelezea hasara za kuwepo kwa wivu na kutokuwa wazi katika, jamii inafikia wakati baba anapifahamu ukweli anawaita wazazi wawili na kuwaombeza kwa kuwa kimya baada ya kuona matatizo yaliyokuwa yanampata mtoto Lisa. Soma Zaidi...

image Hati.a ya kijana mchonganishi
Posti hii inakwenda kukupa muendelezo wa hadithi za alifu lela ulela Soma Zaidi...

image Binti huyu Ni Nani?
Posti hii inakwenda kukuendelezea hadithi kuhusu kifo cha mtoa burudani wa sultan Soma Zaidi...

image Safari ya pili ya Sinbad
Posti hii inakwenda kukupa muendelezo wa safari saba za Sinbad Soma Zaidi...

image SAFARI YA MUUJIZA
Post hii inahusu hadithi moja iliyotokea Kwa mama mmoja mwenye familia ya watoto watano.ambapo mama aliolewa na mwanaume mwenye maambukizi ya virus vya ukimwi na kupata watoto bila maambukizi kusambaa kutoka Kwa baba kwenda Kwa mama. Soma Zaidi...