HADITHI YA MAMA MCHOYO NA MWEHU


image


Posti hii inahusu zaidi habari za Mama mmoja aliyekuwa mchoyo akampa mkate mwehu na kuutia Sumu ila kwa sababu mwehu alikuwa mkarimu sana aliutunza mkate na kuwapatia watoto wa yule mama waliokuwa wakitoka shule na njaa kali


Hadithi ya Mama mchoyo na mwehu.

1. Hapo zamani za kale palikuwepo na mwehu mmoja maskini lakini pamoja na umaskini wake yule mwehu alikuwa mkarimu wa hali ya juu, kwa sababu kile kidogo alichokipata katika kuomba Aliwapatia wahitaji zaidi ya yeye kama vile walemavu na wanafunzi waliokuwa wanatoka shule.

 

2. Palikuwepo na mama mmoja tajiri ana kila kitu ila tatizo lake lilikuwa ni uchoyo kwa huyo mwehu alikuwa anakwenda kwa yule mama kuomba yule mama hakumpatia chakula kwa sababu ya halu yake ya umaskini Bali alimpatia kwa sababu yule mwehu alikuwa anapiga makelele iwapo hajapewa chochote, kwa hiyo Mama alikuwa anachukizwa sana na Ile tabia ya mwehu na maneno yake maana alipokuwa anamwomba yule mama alikuwa akisema ukitenda mema unajitendea mwenyewe ukitenda mabaya unajitendea mwenyewe naomba mkate.

 

3. Basi yule mama kwa sababu ya kukelwa na yule mwehu, kwa hiyo mama aliandaa mkate akaweka sumu Ili kumuua yule mwehu, basi mwehu kama kawaida yake akisema ukitenda mema unajitendea mwenyewe ukitenda mabaya unajitendea mwenyewe, basi yule mama akampatia mwehu mkate wenye Sumu, basi yule mwehu akashukuru sana akaondo basi njiani yule mwehu alikutana na watoto watatu f



Sponsored Posts


  πŸ‘‰    1 Hadiythi za alif lela u lela       πŸ‘‰    2 Madrasa kiganjani       πŸ‘‰    3 Maktaba ya vitabu       πŸ‘‰    4 Jifunze fiqh       πŸ‘‰    5 Mafunzo ya php       πŸ‘‰    6 Mafunzo ya html kwa kiswahili    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Malipo ya wema ni wema
Posti hii inakwenda kukuletea hadithi za alifu lela ulela Soma Zaidi...

image Mtihani penzini
Posti hii inakwenda kukupa muendelezo kuhusu kifo cha mtoa burudani wa sultani Soma Zaidi...

image Hasara za wivu na kutokuwa wazi (sehemu ya 4)
Posti hii inaendelea kuelezea hasara za kuwepo kwa wivu na kutokuwa wazi katika, jamii inafikia wakati baba anapifahamu ukweli anawaita wazazi wawili na kuwaombeza kwa kuwa kimya baada ya kuona matatizo yaliyokuwa yanampata mtoto Lisa. Soma Zaidi...

image Hadithi ya Khalid mwenye kuneemeshwa na Jalid
Posti hii inakwenda kukuletea hadithi za alifu lela ulela Soma Zaidi...

image Hasara za wivu na kutokuwa wazi (sehemu ya 3)
Posti hii inahusu zaidi hasara za kuwa na wivu na kutokuwa wazi, sehemu hii inahusu zaidi maendeleo ya Lisa shuleni yanakuwa mabaya zaidi na lina anaendelea kumtunzia siri lengo lake lina ni kuendelea kuwa wa kwanza darasani. Soma Zaidi...

image Historia ya pango, aladini na kitabu
Soma Zaidi...

image Hadithi ya Kaka wa pili wa kinyozi
Posti hii inakwenda kukupa muendelezo kuhusu kifo cha mtoa burudani wa sultani Soma Zaidi...

image Safari ya majibu juu ya maswali mawili
Posti hii inakwenda kukuletea hadithi za alifu lela ulela Soma Zaidi...

image Kwisha kwa chakula
Posti hii inakwenda kukuletea muendelezo wa safari za Sinbad Soma Zaidi...

image Hadithi katika kijiji cha burugo
Β Posti hii inahusu zaidi jinsi ya watu walivyoishi katika kijiji cha burugo .tunajuwa hadithi ni sehemu mojawapo ya kubirudisha na kujifunza kitu flani kutoka kwenye jamii . Soma Zaidi...