image

Hadithi ya pili: sifa za muumini wa kweli

Sunnah na hadithi (EDK form 3: dhana ya elimu ya uislamu)

 

Kutoka kwa Ibn Umar (r.a) amesema: Kasema mjumbe wa Mwenyezi Mungu; 

“Muislamu wa kweli ni yule wanaosalimika Waislamu kutokana na (maudhi) ya ulimi wake na mkono wake. Na muumini wa kweli ni yule wanaomuaminisha watu juu ya damu zao na mali zao.”

(Muttafaqun Alayhi)

 

Mafunzo ya Hadith kwa Ufupi:

  1. Haifai kuwaudhi, kuwafitinisha, n.k. waislamu, wanaadamu wengine pamoja viumbe kwa ujumla.
  2. Miongoni mwa maudhi ya ulimi ni kusengenya, kukejeli, kufitinisha, kupigana, kudhulumu na kuitanana majina mabaya.
  3. Uislamu ni dini ya mapenzi, huruma, kusaidiana na kushirikiana.
  4. Muumini wa kweli ni muaminifu kwa kila anachosema na kutenda pia.





           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1937


Sponsored links
👉1 Madrasa kiganjani     👉2 Kitabu cha Afya     👉3 Kitau cha Fiqh     👉4 kitabu cha Simulizi    

Post zifazofanana:-

DUA BAADA YA TAHIYATU, NA KUTOA SALAMU KWENYE SWALA
13. Soma Zaidi...

KUKUSANYIKA KATIKA DUA
KUKUSANYIKA KATIKA DUA. Soma Zaidi...

DUA ZENYE MANENO HAYA HUJIBIWA
SIFA ZA (MANENO NA MATAMSHI YA) DUA YENYE KUJIBIWA. Soma Zaidi...

HADITHI YA 34 YEYOTE ATAKAYEONA KITENDO KIOVU AKIONDOE KWA MKONO WAKE
Soma Zaidi...

Hadithi inayokataza bidaa (bid's) uzushi katika dini
عَنْ أُمِّ الْمُؤْمِنِينَ أُمِّ عَبْدِ اللَّهِ عَائِشَةَ رَضِيَ اللَّهُ عَنْهَا، قَالَتْ: قَالَ: رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه و سلم "... Soma Zaidi...

Masomo ya Dua na Faida zake Dua
Soma Dua mbalimbali hapa, Soma Zaidi...

Hadithi Ya 27: Uadilifu Ni Tabia Nzuri
Soma Zaidi...

DUA ZA WAKATI WA SHIDA
DUA ZA WAKATI WA SHIDA 1. Soma Zaidi...

DUA 120
Soma Zaidi...

Dua za kuondoa wasiwasi, woga na kujikinga na uchawi, na mashetani
Post hii itakufundisha dua za kuomba wakati wa woga, wasiwasi na kujikinga na wachawi na mashetani Soma Zaidi...

Hadithi Ya 26: Kila Kiungo Cha Mtu Lazima Kitolewe Sadaka
Soma Zaidi...

Dua 10 ambazo ni muhimu kuziomba kwa kila siku.
Posti hii inakwenda kukupa orodha ya dua 10 ambazo unaweza kuziomba kila siku. Soma Zaidi...