HAKI ZA BINADAMU KWA UJUMLA (BASIC HUMAN RIGHTS)


image


Haki na uadilifu katika uislamu (EDK form 3: Dhana ya elimu ya uislamu)


 

Haki za Binaadamu kwa Ujumla (Basic Human Rights).

Uislamu umezingatia, kulinda na kusimamia haki za msingi za kibinaadamu bila kujali tofauti zao. Haki hizo ni pamoja na;

Haki za kuishi (maisha).

Rejea Quran (5:32), (6:151) na (17:33).

 

Haki ya Usalama wa Maisha.

Rejea Quran (5:32).

 

Haki ya kulinda na kuheshimu hadhi na usafi wa mwanamke.

Rejea Quran (17:32) na (24:2).

 

Haki ya kupata mahitaji ya lazima ya maisha.

Rejea Quran (70:24-25).

 

Haki ya Uadilifu na Usawa katika Hukumu (Righ to justice).

Rejea Quran (5:8), (49:13) na (4:135).

 

Haki ya Uhuru (kila mtu kuwa huru).

Uislamu umezingatia kila mtu kuwa huru kifikra na kutomilikiwa kama bidhaa ya baishara.



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Hadiythi za alif lela u lela       ðŸ‘‰    2 Jifunze fiqh       ðŸ‘‰    3 Magonjwa na afya       ðŸ‘‰    4 Madrasa kiganjani       ðŸ‘‰    5 Maktaba ya vitabu       ðŸ‘‰    6 Mafunzo ya html kwa kiswahili    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Saumu (funga)
Nguzo za uislamu (EDK form 3:dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Uandishi wa hadithi wakati wa tabiina (wafuasi wa maswahaba)
Sunnah na hadithi (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Mambo yanayodhaniwa kuwa yanaharibu funga lakini hayaharibu
Nguzo za uislamu (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Kuamini vitabu vya mwenyezi Mungu (s.w)..
Nguzo za imani (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Sanda ya mtoto
Mambo ya faradh kwa maiti ya muislamu (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Lengo la kuumbwa Mwanadamu ni lipi?
Kwenye kipengele hichi tutajifunza lengo la kuumbwa mwaanadamuengo la kuumbwa ulimwengu na viumbe vilivyomo. Soma Zaidi...

image Tofauti kati ya fiqh na sheria
Kipengele hichi tutajifunza tofauti kati ua fiqh na sheria. Soma Zaidi...

image Tanzu (makundi) za hadithi
Sunnah na hadithi (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Jinsi uislamu ulivyokomesha biashara ya utumwa wakati na baada ya mtume Muhammad (s.a.w)
Soma Zaidi...

image Maswali kuhusu hali ya bara arabu zama za jahiliyyah
Bara arabu zama za jahiliyyah (EDK form 2 dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...