image

Haki za viumbe na mazingira

Haki na uadilifu katika uislamu (EDK form 3: Dhana ya elimu ya uislamu)

Haki za Viumbe na Mazingira.

Uislamu umeweka kipaumbele katika kuhifadhi mazingira na kutunza viumbe hai na visivyo hai kupitia sera mbali mbali zikiwemo;

Haki ya Hifadhi ya Mazingira na misitu.

Rejea Quran (6:38), (27:60), (16:10-13), (50:7-9), (56:63-64) na (39:62). 

 

Mazingira ni amana katika kulinda uhai wetu na wa viumbe wengine.

Rejea Quran (7:10) na (16:112).

 

Sera na Mafundisho ya Mtume (s.a.w) juu ya hifadhi ya mazingira katika kuleta ustawi wa jamii.

 

Sera ya mapinduzi ya kitabia katika kutunza na kuhifadhi mazingira yote yanayotuzunguka. 

 

Sera ya usafi na uhifadhi wa mazingira ili kuleta ustawi wa viumbe hai.

Rejea Quran (6:141) na (25:2).





           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1084


Sponsored links
👉1 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     👉2 kitabu cha Simulizi     👉3 Kitabu cha Afya     👉4 Kitau cha Fiqh     👉5 Madrasa kiganjani    

Post zifazofanana:-

Funga za kafara
Nguzo za uislamu (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

Kufunga Mwezi wa ramadhani kisheria
Soma Zaidi...

Haya ndio yanayobatilisha Hija
Soma Zaidi...

Ujuwe utaratibu mzima wa funga na kutekeleza ibada ya Swaumu
Soma Zaidi...

Twahara na namna ya kujitwaharisha, nguzo zake na sunna zake
Soma Zaidi...

Swala ya jamaa na taratibu zake
Post hii inakwenda kukufundisha kuhusu swala ya jamaa na taratibu zake. Soma Zaidi...

Fadhila za kufunga mwezi wa ramadhani
Soma Zaidi...

Haki na wajibu kwa mayatima
Soma Zaidi...

MARADHI MENGINE 10 YANAYOTOKANA NA MBU ( matende, ngirimaji, homa ya manjano, n.k
Tofauti na maradhi yaliyotajwa hapo juu pia tafiti za kisayansi zimethibitisha kuwepo kwa maradhi mengine hatari yanayosambazwa na mbu, kama vile ngirimaji pamoja na matende. Soma Zaidi...

Umuhimu wa swala
Umuhimu wa KusimamishaSwala Kwa mujibu wa Hadith ya Ibn Umar (r. Soma Zaidi...

Kufunga Mwezi wa ramadhani kisheria
Soma Zaidi...

MAMBO YANAYOBATILISHA (HARIBU) SWALA YAKO
Lugha ya Swala Lugha ya swala,kuanzia kwenye Takbira ya kuhirimia Swala mpaka kumalizia swala kwa Salaam, ni Kiarabu. Soma Zaidi...