HASARA ZA WIVU NA KUTOKUWA WAZI (SEHEMU YA 4)


image


Posti hii inaendelea kuelezea hasara za kuwepo kwa wivu na kutokuwa wazi katika, jamii inafikia wakati baba anapifahamu ukweli anawaita wazazi wawili na kuwaombeza kwa kuwa kimya baada ya kuona matatizo yaliyokuwa yanampata mtoto Lisa.


Hasara za kutokuwa wazi.

1. Basi mtoto Lisa baada ya kufaulu mtihani wa darasa la saba kwa kusaidiwa na ushauri wa mwalimu yule kijana lakini anatoa ushauri ili mtoto atulie naye aje apate kitu kutoka kwa Lisa pia na pesa alizokuwa anapatiwa na baba Lisa, kwa hiyo baada ya Lisa kupata matokeo siku moja alikaa na yule kijana mlezi wake wakawa wanaongea akamwuliza kwa nini alikuwa anafeli yule kijana akaelezwa kila kitu na Lisa aliumia sana kuona kwamba hakupata msaada wowote kutoka kwa lina kwa sababu lina alificha maovu yake na pia alisikitika kuona kwamba mama yake mzazi alifahamu kabisa tatizo lake na hakumsaidia pia aliumia sana kuona yule mwalimu analetwa nyumbani na pia mama yake wa kambo aliona jinsi nilivyotembea na yule mwalimu hakusema kitu ila alimshukuru mwalimu kwamba hakumbebesha mimba alipomaliza kusema hayo akalia sana na hapo baba yake akatokea akamwuliza binti yake na binti akasimulia kila kitu,baba akaumia mno.

 

 

 

 

 

 

2. Baada ya baba Lisa kusikia hayo aliumia sana akaenda nyumbani akaongea na mke wake kuhusu mtoto Lisa kwamba amefaulu vizuri ila anataka kumpeleka akasoma mbali ili kuepuka na udanganyifu a yule mama kwa sababu alikuwa mnafiki alikubali hilo na akajaribu kumpeleleza mme wake kuhusu shule na nchi atakayompleleka mwanae hakufanikiwa kuijua, lakini mwanamke ni mwanamke wa hivyo alipeleleza mpaka akafahamu shule na nchi, kwa hiyo lengo la mama wa kambo wa Lisa ni kuhakikisha yule mtoto anaharibikiwa na kwa sababu yule mama wa kambo wa Lisa alikuwa na pesa akaamua kumsaidia mama yake na lina kutoka shule za serikali na kumpeleka kwenye shule anayoenda kusoma Lisa.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

3. Basi kwa sababu  kwa sababu lina alishafaulu na kwenda kusoma shule za serikali na huko kingereza kilikuwa shida na kusoma kulikuwa ni kwa shida sana kwa hiyo Lisa alikuwa na uzoefu kuhusu mapenzi na alijua kwamba yaliyoathiri masomo yake kwa hiyo alienda shuleni kusoma kweli na alishajua kwamba watu sio wema hata kidogo, kwa hiyo aliandaliwa na mlezi wake na baba yake na pia mama mzazi alitaarifiwa kuhusu hilo kwa hiyo alienda kananda na alikuwa na hamu ya kusoma kwa hiyo na baada ya siku na lina akaenda pale shule akamkuta Lisa kwa sababu Lisa alikuwa na uzoefu wa maisha alimkaribisha vizuri na kumwonyesha mazingira, kwa hiyo kipindi cha masomo kilipofika lina alishangaa kuona Lisa yuko makini na pia anapiga kingereza kama nini na hayupo kabisa kwenye mahusiano,lina alitaka kuchanganyikiwa hakuamini macho yake.

 

 

 

 

 

4. Kwa hiyo maisha ya lina yakawa magumu shuleni kwa sababu kingereza hakijui, na anasumbuliwa na wavulana wengi na hana jinsi ya kuwakwepa kama lisa na pia kazi alivyoandaliwa kufanya ya kuhakikisha kwamba Lisa anapotezwa kabisa anaona hawezi, basi wakafanya mtihani wa kwanza Lisa akawa wa pili lina akae wa pili kutoka mwishoni, kwa hiyo lina aliumia mno kuona kwamba Lisa yuko vizuri, pia Lisa alituma matokeo nyumbani kwa baba ,mama na kaka yake mlezi hawakuamini ila kaka yake mlezi akaendelea kumshauri Ili aendelee kukazana na pia baba Lisa alifurahi na baada ya siku yule mama wa kamabo wa Lisa akafahamu matokeo ya Lisa ukiangalia ya Lina aliumia mno.

 

 

 

 

 

 

5. Siku zikaendelea wakafika form four na bado Lisa ana msimamo wake na anafanya vizuri sana darasani na akiwa na nidhamu ya kutosha ila Lina anakuwa wa mwisho na anadumbuliwa na wanaume wengi na hatimaye akawa Mjamzito na ikabidi afukuzwe shule, ila Lisa aliumia sana kuona mwenzake anafumizwa shule, kwa sababu Lisa alikuwa kilanja na mwangalizi wa makazi aliamua kumsaidia mwenzake kwa kumpa chumba kimoja kusudi ajifungue ila akimaliza kujifungua aendelee na shule , ingawa Lisa alikuwa anamfanyia Lisa vizuri ila alipokuwa anakumbuka alivyofanyiwa aliumia sana, ila mlezi wake alikuwa anamhakikishia kuwa atende mema kwa waliomkosea.

 

 

 

 

 

 

6. Kwa hiyo baada ya shule kumalizika Lisa alichsguliwa kwendelea naasomo ya mbele na kwa sababu alikuwa na akili alichaguliwa kusomeshwa na shule, ila Lisa alirudi nyumbani akiwa na mtoto bile cheti, mama yake alipomwona aliumia mna akaanza kulia na kumwoba  mama lissa,messamaha

 



Sponsored Posts


  πŸ‘‰    1 Jifunze fiqh       πŸ‘‰    2 Magonjwa na afya       πŸ‘‰    3 Madrasa kiganjani       πŸ‘‰    4 Maktaba ya vitabu       πŸ‘‰    5 Mafunzo ya html kwa kiswahili       πŸ‘‰    6 Hadiythi za alif lela u lela    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Hadithi katika kijiji cha burugo
Β Posti hii inahusu zaidi jinsi ya watu walivyoishi katika kijiji cha burugo .tunajuwa hadithi ni sehemu mojawapo ya kubirudisha na kujifunza kitu flani kutoka kwenye jamii . Soma Zaidi...

image Mtihani penzini
Posti hii inakwenda kukupa muendelezo kuhusu kifo cha mtoa burudani wa sultani Soma Zaidi...

image Hadithi ya chongo wa tatu mtoto wa mfalme
Posti hii inakwenda kukuletea hadithi za alifu lela ulela Soma Zaidi...

image Kifo cha mtoa burudani wa sultani
Posti hii inakwenda kukusimulia kuhusu hadithi ya kifo cha mtoa burudani wa sultan Soma Zaidi...

image Kila kitu ambacho wanaume wanatakiwa kufahamu kuhusu wanawake.
Hii ni siri kubwa kuhusu wanawake. Hapa utajifunza jinsi ya kumfanya mwanamke asikuache. Soma Zaidi...

image WAKATI WA KUFUMBUKA
Post hii ni mwendelezo wa hadithi inayohusu Kufumbuka ambapo , John anaonekana kama sio mtoto wa Mzee maganga kwa sababu na miungu imekili kwa sababu chakula chote kimeliwa na kuisha. Soma Zaidi...

image Hadithi iliyosimuliwa na mshona nguo
Posti hii inakwenda kukupa muendelezo kuhusu kifo cha mtoa burudani wa sultani Soma Zaidi...

image Hadithi ya waziri aliyeadhibiwa
Posti hii inakwenda kukuletea hadithi za alifu lela ulela Soma Zaidi...

image USALITI (sehemu ya tatu)
Post hii ni mwendelzo wa hadithi ya ukweli ambayo imetokea siku sio nyingi jinsi Moses alipoacha kumwoa Rhoda naye akachanganyikiwa takribani miaka kama mitano hivi. Soma Zaidi...

image Aladini na binti wa mfalme
Posti hii inakwenda kukupa muendelezo wa hadithi ya aladini na taa ya mshumaa wa ajabu Soma Zaidi...