Hatari ya uzito mkubwa

Posti hii inahusu zaidi hatari zilizopo kwa mtu mwenye uzito mkubwa,kwa sababu ya kuwepo kwa uzito mkubwa na pia unene usio wa kawaida usababisha mtu kuwa na matatizo mbalimbali hasa saratani za kila sehemu kama tutakavyoona.

Hatari ya kuwepo kwa uzito mkubwa.

1. Kuwepo kwa Saratani ya Koo la chakula.

 

2. Kuwepo kwa Saratani ya utumbo mkubwa.

 

3. Kuwepo kwa Saratani ya tumbo la chakula.

 

4. Kuwepo kwa Saratani ya ini.

 

5. Kuwepo kwa Saratani ya mfuko  wa nyongo.

 

6. Kuwepo kwa Saratani ya kokngosho.

 

7. Kuwepo kwa Saratani ya matiti.

 

8. Kuwepo kwa Saratani ya ovary na Figo.

 

9. Kuwepo kwa Saratani ya thyroid

 

 

 

 Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/07/25/Monday - 11:18:16 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 713


Download our Apps
👉1 Madrasa kiganjani     👉2 kitabu cha Simulizi     👉3 Kitau cha Fiqh     👉4 Kitabu cha Afya    

Post zifazofanana:-