image

Hatua za Maambukizi ya ugonjwa wa ukimwi.

Posti hii inahusu zaidi hatua mbalimbali za Ugonjwa wa Ukimwi, kawaida Ugonjwa huu huwa na hatua kuu nne ila kila hatua huwa na sifa zake kwa hiyo tunapaswa kujua hatua za Ugonjwa huu na kujaribu kuzuia maambukizi yasisambae kabisa.

Hatua za Ugonjwa wa Ukimwi.

1. Kadri ya sheria za Shirika la afya duniani limejaribu kuweka Dalili hizi nne kufuatana na Dalili anazozionyesha mtu. Kuna hatua ya kwanza kwenye hatua hii hakuna Dalili yoyote ambayo inaweza kujitokeza , mtu anakuwa kawaida na anafanya shughuli zake za kawaida bila shida yoyote yaani kwa ujumla hawezi kujua mpaka apime ndipo anapoweza kugundua kwamba ana Maambukizi.

 

2. Hatua ya tatu. Hii nayo ni Dalili ambayo kunakuwepo nadalili fulani kwa mgonjwa mfano uzito kupungua kwa asilimia kumi, mgonjwa anaanza kuwa na ma upele kwenye midomo na kwenye sehemu za siri, kuwepo kwa magonjwa ya mafua ya mara kwa mara na hayaponi na Magonjwa mengi mengi ushambulia mtu kwenye kipindi hiki ,kwa hiyo Mgonjwa baada ya kuona dalili kama hizi anapaswa kuwahi hospitali au sehemu yoyote akapime.

 

3. Hatua ya tatu ni ile uzito unashuka sana kuliko kawaida na pia mgonjwa anakuwa anaharisha sana, na homa ambazo hazikatiki, yaani homa za mara kwa mara,na kwa kipindi hiki mgonjwa huwa na fungusi za kwenye mdomo, kifua kikuu uwepo kwa mgonjwa, kunakuwepo pia kwa Maambukizi ya bakteria kwa wingi, katika kipindi hiki wagonjwa wengi wanakuwa wamelala kitandani.

 

4.Hatua ya nne na ya mwisho.

Kwenye hatua hii virusi vinakuwepo kwenye mwili mzima na mtu hudhoofika sana, kunakuwepo na matatizo kwenye Upumuaji, kuharisha kwa wingi, mgonjwa kwa mara nyingine anakuwa amelala kitandani, kwa upande wa mgonwa wanapaswa kumpeleka hospitali ili akapime mapema.

 

5. Kwa hiyo baada ya kutambua hatua hizi watu wanapaswa kujua Dalili, Ugonjwa unavyosambaa na kuweza kujiwekea msimamo na malengo ya kweli.





           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1175


Sponsored links
👉1 Kitabu cha Afya     👉2 Kitau cha Fiqh     👉3 Madrasa kiganjani     👉4 kitabu cha Simulizi    

Post zifazofanana:-

Dalili za sukari kupungua mwilini (Hypoglycemia)
sukari kupungua mwilini (Hypoglycemia) huhusishwa kwa kawaida na matibabu ya Kisukari. Hata hivyo, hali mbalimbali, nyingi zikiwa nadra, zinaweza kusababisha sukari ya chini ya damu kwa watu wasio na Kisukari. Kama vile Homa, Hy Soma Zaidi...

Madhara ya ugonjwa wa madonda ya koo usipotibiwa
Posti hii inahusu zaidi madhara ya ugonjwa wa madonda ya koo usipotibiwa, ugonjwa huu usipotibiwa unaweza sababisha madhara mbalimbali kama ifuayavyo. Soma Zaidi...

Saratani ya tishu zinazounda Damu mwilini (leukemia)
Post hii inaelezea kuhusiana na Saratani ya tishu zinazounda damu mwilini, ikijumuisha uboho na mfumo wa limfu.ugonjwa huu kitaalamu huitwa leukemia. Soma Zaidi...

UGONJWA WA MALARIA NA TAKWIMU ZA ATHARI YAKE KIDUNIA
Malaria ni katika maradhi ambayo husambazwa na na mbu jike aina ya anopheles. Soma Zaidi...

Maumivu ya tumbo baada ya tendo la ndoa
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu sababu za maumivu ya tumbo baada ya tendo la ndoa Soma Zaidi...

NJIA ZA KUKABILIANA NA MINYOO: kuosha mikono, kuwa msafi, kuvaa viatu, maji safi, kuivisha nyama vyema
NJIA ZA KUKABILIANA NA MINYOO Kwa kuwa tumekwisha kuona namna ambavyo minyoo huenezwa, hivyo basi ni rahisi sasa kutaja namna ya kubambana na minyoo. Soma Zaidi...

Ugonjwa wa homa ya uti wa mgongo
Posti hii inahusu zaidi Ugonjwa wa uti wa mgongo, ni ugonjwa unaoshambulia sehemu inayofunika ubongo na pia sehemu ya spinal cord Soma Zaidi...

Elimu kuhusu HIV na UKIMWI
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu elimu ya kuhusu HIV na UKIMWI Soma Zaidi...

Fahamu Ugonjwa wa kipindupindu.
Kipindupindu ni ugonjwa wa bakteria ambao kawaida huenezwa kupitia maji machafu. Kipindupindu husababisha Kuhara na Upungufu wa maji mwilini. Soma Zaidi...

Ni zipi dalili za Ukimwi na ni zipi dalili za VVU
Ijuwe historia ya VVu, Dalili zake, tiba na vipimo vyake pia njia za kueneza VVU na UKIMWI Soma Zaidi...

Dalili za Ugonjwa wa mapafu.
posti hii inahusu dalili za ugonjwa wa mapafu.ambapo kitaalamu hujulikana Kama Ugonjwa wa Acute Respiratory Distress Syndrome (ARDS) hutokea wakati Majimaji yanapojaa kwenye vifuko vidogo vya hewa nyororo (alveoli) kwenye mapafu yako. Majimaji mengi kw Soma Zaidi...

Ni Nini husababisha kinjwaa kutoa harufu mbaya?
Posti hii inaelezea kuhusiana na sababu zinazosababisha kinjwa au mdomo kutoa harufu mbaya? Soma Zaidi...