Hiv n kweli majivu hutoa mimb ya siku moja hadi wiki moja
Inashangaza sana, wakati wengine wanahangaika kutafutavijauzito kwa gharama yoyote ile, kuna wengine wanataka kutoa ujauzito kwa gharama yeyote ile. Unadhani njia za kienyeji sa kutoa mimba ni salama?
Swali
Hiv n kweli majivu hutoa mimb ya siku moja hadi wiki moja
Jibu:
Njia za kienyeji za kutoa mimba sio salama. Zipo nyingi sana kuanzia miti ya majani, mizizi, ounje, Majimaji ya majani na Azidi.
Hata hivyo pia njiazakutoa mimba kwa madawa ya hospitali pia zina hatari yake. Jambo la msingi kama huna sababu za kisheria kutoa mimba usifanye kabisa.
Ikiwa huna budi kujitoa kutokana na sababu zakisheria, Obama na daktari kwa ushauri zaidi.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Kitabu cha Afya 👉2 web hosting 👉3 Simulizi za Hadithi Audio 👉4 Bongolite - Game zone - Play free game 👉5 Kitau cha Fiqh 👉6 kitabu cha Simulizi
Post zinazofanana:
Unaweza kuhisi chochote ktk tumbo ukiwa na wiki mbili? Na je ukibonyeza tumbo utahisi chochote ukiwa ns wiki
Ni mida gani njamzito ananza kuhisi kuwa tumboni anebeba mtoto.
Soma Zaidi...Huduma kwa mama mwenye kifafa cha mimba.
Posti hii inahusu zaidi huduma ambazo wajawazito wanaweza kuzipata wakiwa na Dalli au tayari wana kifafa cha mimba.
Soma Zaidi...Ni ipi hasa siku ambayo nitafute ujauzito
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu siku za kutafuta ujauzito
Soma Zaidi...Namna ya kuangalia maendeleo ya mtoto akiwa tumboni mwa Mama
Posti hii inahusu zaidi namna ya kuangalia maendeleo ya mtoto akiwa tumboni mwa mama, zoezi hili ufanyika kila mwezi pale mama anapokuja kwenye mahudhurio kwa kufanya hivyo tunaweza kuja maendeleo ya mtoto kwa kila mwezi.
Soma Zaidi...Dalili za PID
Posti hii inahusu zaidi dalili za PID maana yake ni maambukizi kwenye pelvic kwa kitaalamu huitwa pelvic infection disease, ni ugonjwa unaoshambulia sana wanawake na wasichana
Soma Zaidi...