Huduma kwa mama ambaye mimba imetoka moja kwa moja.
Post hii inahusu zaidi huduma kwa mama ambaye mimba imetoka moja kwa moja, aina hiyo ya mimba kwa kitaalamu huitwa complete abortion.
Huduma kwa mama ambaye mimba imetoka moja kwa moja.
1. Tunasema mimba imetoka moja kwa moja bila kubakiza kitu chochote ndani, aina hii ya mimba huwa na dalili zote za mimba kutoka na baadae utoka moja kwa moja.
2. Kama mimba hii ilikuwa na miezi zaidi ya minne mama anapaswa kufanyiwa usafi tu ili kuweza kutoa damu iliyokuwa imebaki na kuweka mazingira ya bia vya uzazi sawa.
3 pia mama anapaswa kupewa ushauri kuhusu wakati wa kubeba mimba nyingine na kuepuka kubeba mimba haraka hali inayosababisha kutoka kwa mimba tena kwa sababu via vya uzazi vinakuwa bado havijakaa sawa.
4. Katika kipindi hiki uzazi wa mpango ni wa lazima pamoja na ushirikiano wa familia kwa ujumla.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Dua za Mitume na Manabii 👉2 web hosting 👉3 Kitau cha Fiqh 👉4 Simulizi za Hadithi Audio 👉5 kitabu cha Simulizi 👉6 ai web app
Post zinazofanana:
Dalili za kuziba kwa mirija ya uzazi
Posti hii inahusu zaidi dalili ambazo zinaweza kutokea kwa sababu ya kuziba kwa mishipa ya uzazi, ni baadhi ya dalili ambazo ujitokeza kwa sababu ya kuwepo kwa tatizo la kuziba kwa mishipa ya uzazi.
Soma Zaidi...Dalili za mimba kuanzia week mbili Hadi mwezi
Somo hili linakwenda kukueleza baadhi ya dalili za mimba kuanzia week mbili Hadi mwezi
Soma Zaidi...Maumivu ya tumbo wakati wa tendo la ndoa
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu sababu za maumivu ya tumbo wakati wa tendo la ndoa
Soma Zaidi...VYAKULA VYA KUONGEZA HAMU YA TENDO LA NDOA NA NGUVU ZA KIUME
Matatizo yahusianayo na nguvu za kume na kukosa hamu ya tendo la ndoa kwahuweza kuchangiwa sana na mpangilio mbovu wa vyakula pamoja na saikolojia ya mtu.
Soma Zaidi...Sababu za kutangulia kwa kitovu wakati Mtoto anazaliwa
Posti hii inahusu zaidi sababu za kutangulia kwa kitovu wakati wa mtoto anapozaliwa.
Soma Zaidi...