image

Huduma kwa mtoto mwenye matatizo ya upumuaji

Posti hii inahusu zaidi huduma kwa mtoto mwenye shida ya kupumua, mtoto kama ana shida ya kupumua tunaangalia dalili kwanza na baadaye tunaweza kutoa huduma kulingana na Dalili.

Huduma kwa mtoto mwenye shida ya kupumua.

1.Kwanza kabisa tunapaswa kumwangalia mtoto kama anakoroma akiwa hayuko usingizini , kama anaonekana anakoroma inawezekana kuwa ni Dalili ya pneumonia na mtoto apewe antibiotics na pia dawa hizi utolewa na daktari.

 

2. Pia mtoto anapaswa kuangaliwa kama anapumua anatoa ka sauti kama mlio fulani hivi ambao kwa kitaalamu huitwa wheezing sound , mtoto anapaswa kupewa dawa za amoxicillin na dawa hizi zinatolewa hospitalini na mtoto anapaswa kuzitumia kwa mda wa siku tano.

 

3. Pia mtoto anaweza kuwa anapumua kwa haraka sana hiyo nayo inawezekana kubwa ni Dalili ya pneumonia kwa hiyo mtoto anapaswa kupewa dawa ya kunusa au kupuliza puani ili kuweza kuzibua kifua kwa kutumia dawa ambazo huitwa bronchodilator kwa mda wa siku tano . 

 

4.kwa hiyo tunajua kabisa mtoto akipumua kwa shida ni Dalili ya hatari kwa mtoto kwa hiyo kama yuko nyumbani anapaswa kupelekwa hospitali haraka sana ili aweze kupata huduma mapema kwa sababu mtoto akitibiwa mapema anaweza kupona haraka kuliko kusubiri mda ukaenda hali hii usababisha madhara makubwa zaidi.           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/02/18/Friday - 10:45:15 pm Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1365


Sponsored links
πŸ‘‰1 Kitau cha Fiqh     πŸ‘‰2 Madrasa kiganjani     πŸ‘‰3 kitabu cha Simulizi     πŸ‘‰4 Kitabu cha Afya    

Post zifazofanana:-

Sababu za kuwepo fangasi ukeni
Posti hii inahusu zaidi sababu za kuwepo kwa Ugonjwa wa fangasi,ni sababu mbalimbali ambazo zinaweza kusababisha fangasi. Soma Zaidi...

NAMNA YA KUBORESHA MBEGU ZA KIUME, NA VYAKULA VYA KUBORESHA NGUVU ZA KIUME
Njoo ujifunze vyakula vya kuboresha mbegu za kiume na nguvu za kiume. Soma Zaidi...

Je ?kipimo kikionyesha misitar miwili mmoja hafifu mwingine umekolea ni mimba au sio
Kipimo chamimba cha mkojo, huonyesha nestory miwili kuwa una mimba, na mmoja kuwa huna mimba. Sasa je ukitokea mmoja umekoleana mwingine hafifu? Endelea na pasti Òœï¸ hadi mwisho Soma Zaidi...

Imani potofu kuhusu uzazi wa mpango
Post hii inahusu zaidi imani potofu kuhusu uzazi wa mpango, ni imani walizonazo Watu kuhusu matumizi ya uzazi wa mpango. Soma Zaidi...

Sababu za kutangulia kwa kitovu wakati Mtoto anazaliwa
Posti hii inahusu zaidi sababu za kutangulia kwa kitovu wakati wa mtoto anapozaliwa. Soma Zaidi...

Je chuchu zikiwa nyeusi Nini kinasababisha,, kando ya kuwa mjamzito? Na Kama sio mjamzito sababu ya chuchu kua nyeusi ni nini
Chuchu kubadilika range ni mojavkatika mabadiliko ambayo huwapa shoka wengi katika wasichana. Lucinda nikwambie tu kuwa katika hali ya kawaida hilo sio tatizo kiafya. Soma Zaidi...

Madhara ya tumbaku na sigara
Post hii itakwenda kuangalia madhara ya tumbaku na sigara anayoweza kuyapata mvutaji Soma Zaidi...

Utaratibu wa chakula kwa Mama mjamzito.
Post huu inahusu zaidi utaratibu wa chakula kwa Mama mjamzito, ni chakula anachopaswa kutumia na ambavyo hapaswi kutumia kwa Mama mjamzito mzito, kwa sababu Mama mjamzito anapaswa kuwa makini katika matumizi ya chakula ili kuweza kuongeza vitu muhimu mwil Soma Zaidi...

Madhara ya kutoka kwa mimba
Post hii inahusu zaidi madhara ya kutoka kwa mimba, kwa kawaida tunafahamu kwamba mimba ikitungwa na mwili mzima huwa na wajibu wa kutunza kilichotungwa kwa hiyo ikitokea mimba ikatoka usababisha madhara yafuatayo. Soma Zaidi...

mim mjamzito lakini maumwa kiuno nakuacha nakuvuta ukeni wiki ya 39 na siku4
Soma Zaidi...

Namna ya kuangalia kama mtoto aliyezaliwa anapumua
Posti hii inahusu zaidi mbinu za kuangalia kama mtoto anapumua pindi anapozaliwa,tunajua kabisa ili kujua na kuelewa kama mtoto yuko hai ni lazima kuangalia upumuaji wa mtoto,ambapo tunaitambua pale anapolia tu. Soma Zaidi...

Njia za kuzuia ugumba
Posti hii inahusu zaidi njia za kuzuia ugumba, ni njia ambazo utumiwa na wapenzi ambao wameshindwa kupata watoto hasa kwa wale ambao wamezaliwa wakiwa na uwezo wa kupata watoto lakini kwa sababu tofauti tofauti wanashindwa kupata watoto kwa hiyo njia zifu Soma Zaidi...