Huduma kwa wanawake wenye mahitaji maalum.

Posti hii inahusu huduma kwa wanawake wenye mahitaji maalum, ni wanawake ambao wana shida ya akili, walionyanyaswa kijinsia, wakimbizi na wote wenye matatizo mbalimbali.

Huduma kwa wanawake wenye matatizo mbalimbali.

1.Tunajua kuwa hawa wanawake wanahitaji uangalizi kwa karibu kwa hiyo tunapaswa kuwasaidia katika kujieleza, katika kutembea labda wengine ni walemavu, katika kujifanyia mambo ya kawaida ya usafi na namna ya kufanya usafi na katika maamuzi maana wengine wana shida ya kutoa uamuzi.

 

2.Pia inabidi kuwasaidia katika wakati uliopo kwa tatizo lililopo kwa mfano kama mama anahitaji huduma za vipimo anapaswa kusaidiwa kwa sababu wakati mwingine hawezi kufika sehemu za vipimo na kuweza kujieleza kwa hiyo anapaswa kusaidiwa na kuhakikisha kuwa anapata kila kitu anachokihitaji.

 

3.Kumsaidia Mama kujua umuhimu wa kupima virus vya ukimwi na magonjwa ya zinaa na namna ya kuzuia magonjwa hayo kwa hiyo hawa akina Mama wanapaswa kupewa elimu ili waweze kupima na kujua afya zao na kama wana Maambukizi wanapaswa kujua namna ya kuwalinda watoto wao na matumizi ya dawa za ARV.

 

4.Kuwasaidia hawa wakina Mama wenye matatizo kuchagua aina bora ya uzazi wa mpango kwa kadiri ya hali yake na kuwasaidia namna ya kutumia njia hizo na kuwa na idadi ya watoto wanaowahifadhi kwa hiyo hawa akina Mama wanapaswa kuwa na uangalizi wa karibu zaidi katika kutumia uzazi wa mpango.

 

5.Pia jamii inapaswa kuwahudumia hawa wajawazito wenye mahitaji maalum ili waweze kujifungua salama na kuepuka imani potovu ya kutoa mimba kwa wajawazito ambao wana kifafa na wenye matatizo kwa kuepuka kulea watoto wao kwa hiyo wanapaswa kutumia njia za uzazi wa mpango ili wasizae sana, kwa hiyo jamii inapaswa kuwapokea watu hawa kwa sababu nao ni binadamu wanahitaji haki zote kama walivyo binadamu wengine.Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/02/08/Tuesday - 10:04:54 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 576


Download our Apps
👉1 Madrasa kiganjani     👉2 Kitabu cha Afya     👉3 kitabu cha Simulizi     👉4 Kitau cha Fiqh    

Post zifazofanana:-

Vidonda vya tumbo
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu ugonjwa wa vidonda vya tumbo Soma Zaidi...

DALILI ZA UTUMBO KUZIBA
Kuziba kwa utumbo ni kuziba kwa chakula au kimiminika kisipite kwenye utumbo mwembamba au utumbo mpana (colon). Kuziba kwa matumbo kunaweza kusababishwa na mikanda ya nyuzi kwenye fumbatio ambayo huunda baada ya upasuaji, mifuko iliyovimba au iliyoambuk Soma Zaidi...

DALILI ZA MIMBA BAADA YA TENDO LA NDOA
Je unahitaji kujuwa kama umepata ujauzito baada ya kufanya tendo la ndoa? hakika sio rahisi ila kama utakuwa makini utaweza. Soma Zaidi...

Kumsaidia sliyepungukiwa na damu kwa sababu ya minyoo
Posti hii inahusu namna ya kumsaidia mgonjwa aliyepungukiwa na damu kwa sababu ya minyoo. Soma Zaidi...

Je kwa mfano mimi nmeupata ukimwi leo na sihitaji kwenda kupima yaaan uanza kujionyesha baada ya muda gani
Watu wengi wamekuwa wakijiuliza kuwa ukimwi huonekana baada ya muda gani toka kuathirika? Soma Zaidi...

Sababu za maambukizi kwenye nephoni
Posti hii inahusu zaidi sababu za maambukizi kwenye nephroni, ni vitu vinavyosababisha mabukizi kwenye nephroni. Soma Zaidi...

je kukohoa kunaweza kuwa ni dalili ya minyoo?
Dalili za minyoo zipo nyingi kama kuumwa na tumbo, tumbo kujaa gesi, uchovu, kukosa hamu ya kula, kupata choo chenye uteute na kupunguwa uzito. je kukohoa kunaweza kuwa ni dalili ya minyoo? Soma Zaidi...

Madhara ya minyoo
Posti hii inaonyesha kiufupi kabisa madhara ya minyoo kwenye mwili wa binadamu. Yafuatayo Ni madhara ya minyoo; Soma Zaidi...

Vyanzo vya minyoo
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu vyanzo vya minyoo Soma Zaidi...

Dalili za maumivu ya uti wa Mgongo
Posti hii inahusu zaidi dalili za uti wa mgongo ni dalili ambazo ujitokeza kwa mtu Mwenye tatizo la uti wa Mgongo. Soma Zaidi...

je maambukizi ya virus vya ukimwi yataonekana kwenye kupimo baada ya siku ngap??
Ni muda gani nitaanza kuona dalili za HIV na kilimo kitaonyesha kuwa nimeathirika? Soma Zaidi...

Dalili za saratani (cancer)
Posti hii inahusu zaidi dalili za kansa, ni dalili ambazo utokea kwa mtu Mwenye tatizo la ugonjwa wa Kansa ingawa sio lazima dalili hizi kutokea tukadhani kuwa ni Kansa Ila zilizonyingi huwa ni kweli dalili za kansa. Soma Zaidi...