image

Huduma kwa wenye ugonjwa wa herpes simplex au vipele kwenye midomo na sehemu za siri

Post hii inahusu zaidi tiba na huduma kwa wenye ugonjwa wa herpes simplex au vipele kwenye midomo na sehemu za siri.

Huduma kwa wenye ugonjwa wa herpes simplex au vipele kwenye midomo na sehemu za siri.

1.kwanza kabisa tunapaswa kujua kuwa Magonjwa yanayosababishwa na virus huwa hayana dawa kwa hiyo tunaweza kutibu dalili na pengine Mgonjwa huwa kwenye hali ya kawaida na kuendelea na maisha ya kama kawaida. Kwa hiyo tunaweza kutoa huduma zifuatazo.

 

2.Kumpatia Mgonjwa maneno malaini na kuongea naye vizuri kuhusu ugonjwa na kumhakikishia kuwa atapona na kuendelea na hali ya kawaida na kwa wakati huu ni kipindi cha kujua afya ya mgonjwa.kama ana Maambukizi yoyote hasa virusi vya ukimwi na magonjwa mengine na hasa kuja mlo wake na maisha ya kipato ili kuweza kutoa msaada kwa mgonjwa ili apate mlo kamili.

 

3.Kwa sababu ya kuwepo kwa maumivu Mgonjwa anapaswa kupewa dawa za kupunguza maumivu kama vile panadol, aspirin na dawa nyingine za kupunguza maumivu kwa kadiri ya hali ya mgonjwa.

 

4.Mgonjwa anapaswa kupewa dawa za acyclovir  ambazo usaidia katika kutibu Magonjwa yanayotokana na virusi na pia mgonjwa anatakiwa kupewa maji mengi ya kunywa ili kuweza kuepuka na matatizo ya dawa hizo kwenye kibofu cha mkojo.

 

5.Na pia kwa mtu mwenye Ugonjwa huu tunapaswa kuzuia ili Ugonjwa usisambae kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine na pia elimu inapaswa kutolewa kwa jamii na kwa mgonjwa mwenyewe kuhusu Ugonjwa huu unavyoambukizwa





           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1315


Sponsored links
👉1 Kitau cha Fiqh     👉2 kitabu cha Simulizi     👉3 Kitabu cha Afya     👉4 Madrasa kiganjani    

Post zifazofanana:-

Fahamu kuhusu fati na mafuta na kazi zake mwilini
Hata kama mtu atakuambbia usile vyakula yenye mafuta bado itahitajika kula tu. Kuna mafuta na fati je unajuwa utofauti wao. Ni zipi kazi zao mwilini? Endelea na makala hii Soma Zaidi...

Mbinu za kuondoa sumu mwilini.
Posti hii inahusu zaidi mbinu za kuondoa sumu mwilini, ni njia mbalimbali ambazo uweza kutumika ili kuondoa sumu mwilini. Soma Zaidi...

Njia za kuzuia kiungulia
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kuzuia kiungulia Soma Zaidi...

Madhara ya kuchelewa kutibu tatizo la kiafya
Posti hii inahusu zaidi madhara ambayo yanaweza kutokea endapo tatizo halijatibiwa. Soma Zaidi...

Zijue faida za mate mdomoni
Post hii inahusu zaidi umuhimu wa mate mdomoni, mate ni majimaji ambayo hukaa mdomoni na husaidia katika kazi mbalimbali mdomoni. Soma Zaidi...

Zijue sababu za kupoteza fahamu.
Posti hii inahusu zaidi sababu za kupoteza fahamu, ni sababu ambazo umfanya mtu kupoteza fahamu kwa sababu mbalimbali kama ifuayavyo. Soma Zaidi...

Maji
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za maji mwilini Soma Zaidi...

Sababu za zinazosababisha kuwepo kwa vidonda
Posti hii inahusu zaidi sababu za kuwepo kwa vidonda, kwa sababu tunaona vidonda vinashambulia sehemu mbalimbali za mwili ila tunakuwa hatuna sababu kwa hiyo zifuatazo ni sababu za kuwepo kwa vidonda. Soma Zaidi...

Namna ya kujikinga na kifua kikuu
Posti hii inahusu zaidi namna ya kuzuia au kujikinga na kifua kikuu, hizi ni njia ambazo utumika ili kujikinga na kifua kikuu Soma Zaidi...

Huduma ya Kwanza kwa mtu aloanguka kifafa
Somo hili linakwenda kukueleza jinsi ya kumfanyia huduma ya Kwanza kwa mtu aloanguka kifafa Soma Zaidi...

Huduma ya Kwanza kwa aliyepatwa na presha ya kushuka
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu huduma ya Kwanza kwa mtu aliyepatwa na presha ya kushuka Soma Zaidi...

Aina mbalimbali za maumivu ya mwili.
Posti hii inahusu zaidi aina mbalimbali ya maumivu ya mwili, Maumivu ya mwili utokea kwa aina mbalimbali kama ifuatavyo. Soma Zaidi...