Posti hii inahusu zaidi huduma ya kwanza kwa mtu aliyengatwa na wadudu. Wadudu ni viumbe vidogo ambavyo hukaa sehemu mbalimbali kama vile kwenye miti na sehemu kama hizo
Huduma ya kwanza kwa mtu aliyengatwa na wadudu
1. Kwanza kabisa kama mdudu bado yupo kwenye mwili wa mtu anapaswa atolewa kabisa
2.kama mtu amevimba tunaaweza kutumia ice Ili kuondoa maambukizi
3. Tutumie dawa za alegi ambazo kwa kitaalamu zinaitwa histamine, hizi dawa hupunguza kuenea kwa sumu
4. Kama Kuna dalili zozote za kuwepo kwa nabaki ya wadudu kwenye mwili au meno ya wadudu kwenye ngozi inabidi yatolewe mara Moja.
Angalisho
1.Ili kuepuka kuumwa na wadudu tunapaswa kuwa mbali na sehemu Ile ambapo wadudu wanaoweza kuwepo
2. Kupikia ndani ya nyumba Ili kuepuka wadudu wansozunguka nje
3. Kusafisha nyumba kila mara na kupiga buibui Ili kuzuia wadudu wasizaliane sana
4. Kuwalinda watoto wanapokuwa wanacheza Ili wasichokoze wadudu wakali kama vile nyuki
5. Kuhakikisha wadudu wanaovamia makazi kama vile nyuki wanahamishwa au kuunguzwa kabisa Ili wasilete madhara ,
Kwa hiyo tujue kuwa wadudu wakivamia mtu hasa watoto wanaoweza kuleta madhara makubwa au pengine kifo kwa hiyo tuwe makini na na azingira yetu na tuhakikishe tumayasafisha Ili kufukuza wadudu wenye madhara
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Post hii inahusu zaidi tiba na huduma kwa wenye ugonjwa wa herpes simplex au vipele kwenye midomo na sehemu za siri.
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu utaratibu wa lishe kwa wagonjwa
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za vyakula vya roghage
Soma Zaidi...Hapa utajifunza kuusu vitamini D, kazi zake, upungufu wake na chanzo cha kupata vitamini D.
Soma Zaidi...Posti hii inakwenda kukujuza kuhusu makundi manne ya damu, asili yake, maana ya antijeni na antibody, pia utajifunza kuhusu mfumo wa Rh. Mwisho utajifunza watu wanaopasa kutoa damu.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu njia mbalimbali ambazo utumika kupitisha chanjo, njia hizo utegemea na kazi ya chanjo kama ifuatavyo.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi ratiba ya chanjo ya kuzuia kifua kikuu, hiii ni ratiba ambayo chanjo hii utolewa na ushauri mbalimbali utolewa ili kuweza kufanikisha kazi ya chanjo hii
Soma Zaidi...Huduma ya kwanza ni huduma anayopewa mgonjwa au mtu yeyote aliyepata ajali kabla ya kumpeleka hospitalini
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia kuhusiana na Mambo mbalimbali ambayo husababisha kizunguzungu.
Soma Zaidi...