image

Huduma ya Kwanza kwa mtu aliyepatwa na shambulio la moyo

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu huduma ya Kwanza kwa mtu aliyepatwa na shambulio la moyo

HUDUMA YA KWANZA KWA ALIYEPATWA NA SHAMBULIO LA MOYO

hii ni hali ghafla inayopelekea moyo kutofanya kazi vyema ama kukimama kabisa. Hali hii ikitokea inaweza kupelekea ukosefu wa hewa ya oksijeni mwilini na hatimaye kuanza kuathiri ubongo. Ukikutana na mtu wa namna hii utambue kuwa anahitaji msaada wa haraka sana.

 

Hakikisha unaomba msada wa kuwaishwa mgonjwa kituo cha afya. Mpunguzie nguo ili aweze kupata baridi. Muangalie vyema kama anaweza kupumua, kama hapumui ama anapata shida kupumua ana za kumfanyia huduma ya kwa nza ya CPR.

 

1.mlaze mgonjwa kichalichali juu ya sehemu iliyo ngumu, isiwe sehemu inayobonyea kama kitandani

2.Punguza nguo zilizopo kifuani kwake, na kama ni mwanaume unaweza kumvua shati kabisa.

3.Bidua kidogo kichwa cake

4.Weke mkono wako wa mmoja juu ya mwengine, kisha iweka katikati ya chuchu za mgonjwa.

5.Anza kumbonyeza kifua chake kwa wastani wa mibonyezo 100 paka 120 kwa dakika moja. Yaani karibia mibonyezo miwili kwa dakika.

6.Hakikisha unabonyeza kwa nguvu mpaka uone kifua cha mgonjwa kinapanda na kuchuka kutokana na mibonyezo yako.

7.Usizidishe nguvu kupitiliza ukavunja mifupa ya mgonjwa.

8.Enelea kufanya hivi mpaka utakapoona mgonjwa anweza kupumua.

9.Muwahishe mgonjwa kituo cha afya baada ya kuanza kupumua           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2021-10-29 Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1172


Sponsored links
👉1 Madrasa kiganjani     👉2 Kitau cha Fiqh     👉3 Kitabu cha Afya     👉4 kitabu cha Simulizi    

Post zifazofanana:-

Njia ambazo maradhi huambukizwa
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu njia ambazo maradhi huambukizwa Soma Zaidi...

Hizi ni kazi za mapafu mwilini
Makala hii itakwenda kukufundisha kazi 5 za maafu mwilimi. Wengi tunajuwa tu kuwa mapafu yanafanya kazi ya kupumuwa. ila si hivyo tu yapo mengi zaidi. Soma Zaidi...

Maji
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za maji mwilini Soma Zaidi...

HUDUMA YA KWANZ AKWA ALIYEPALIWA AMA KUSAKAMWA NA KUTU KOONI
Soma Zaidi...

Vyakula vya madini
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za vyakula vya madini mwilini Soma Zaidi...

Dalili za sumu ya pombe
hatari matokeo ya kunywa kiasi kikubwa cha pombe kwa muda mfupi. Kunywa pombe haraka kupita kiasi kunaweza kuathiri kupumua kwako, mapigo ya moyo, halijoto ya mwili na kunaweza kusababisha Coma na kifo. Soma Zaidi...

Utajuwaje kama kidonda kupona
Posti hii inahusu zaidi juu ya kuhakiki kama kidonda kimepona kwa mgonjwa mwenye vidonda, kwanza kabisa tunajua kuwa vidonda uwanyima Watu raha na pengine kuwafanya wakate tamaa kama wapo hospitalini kwa hiyo tunapaswa kutumia njia zifuatazo ili kuweza ku Soma Zaidi...

Haya hayawezi kuambukiza UKIMWI
Somo hili linakwenda kukuletea Mambo ambayo hayawezi kuambukiza UKIMWI Soma Zaidi...

Fahamu kuhusu vitamini K na kazi zake mwilini
vitamini k ni moja katika vitamini vinavyoitajika sana mwilini. Je unazijuwa athari za upungufu wa vitamini k mwilini? Soma Zaidi...

Je, utamsaidia vipi mtu aliyeumwa na nyuki?
Posti hii inazungumzia kuhusiana na kumsaidia mwenye aliyeumwa na nyuki.nyuki na wadudu ambao wakikushambulia Sana na ukikosa msaada unaweza kufa au kuwa katika Hali mbaya. Soma Zaidi...

Zijue dalili za upungufu wa maji mwilini
Posti hii inaelezea kuhusiana na upungufu wa maji mwilini Soma Zaidi...

Sababu za zinazosababisha kuwepo kwa vidonda
Posti hii inahusu zaidi sababu za kuwepo kwa vidonda, kwa sababu tunaona vidonda vinashambulia sehemu mbalimbali za mwili ila tunakuwa hatuna sababu kwa hiyo zifuatazo ni sababu za kuwepo kwa vidonda. Soma Zaidi...