Huduma ya kwanza kwa mtu aliyeshambuliwa na moyo na kushindwa kupumua

Huduma ya kwanza kwa mtu aliyeshambuliwa na moyo na kushindwa kupumua

Kushambuliwa kwa moyo na kupumua ni kitendo Cha moyo kusimama ghafla, Hali hii unapaswa kutolewa huduma ya kwanza Ili moyo ufanye kazi tena,

Njia za kuamsha moyo uliosimama

1. Kwanza angalia usalama wa mtu na mazingira yake

2.angalia kama mtu anaweza kuhisi maumivu, kuona ishara yoyote au kuamka

3.analia upumuaji wa mgonjwa na msukumo wa damu

4.angalia upumuaji kama haupo chukua mikono yako weka juu ya kifua Cha mgonjwa, gandamiza na kutoa mikono mara thelathini. Ukifikisha mara thelathini unampatia hewa mara mbili, endelea hivyo mara Tano mfululizo ukigandamiza mara thelathini na hewa mara mbili 

5, ukifikisha mara Tano angalia kama msukumo wa damu umerudi kawaida

6. Endelea kumpatia hewa baadae kama ameweza kupumua vizuri, pima msukumo wa damu

7. Kama mgonjwa ataweza kupumua mpelekee hospitalini kwa matibabu zaidi

 

Angalia huduma ya kwanza kwa aliyezimia bofya hapa

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Huduma Main: Post File: Download PDF Views: 2261

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Bongolite - Game zone - Play free game     👉2 Kitabu cha Afya     👉3 Tafasiri ya Riyadh Swalihina     👉4 Simulizi za Hadithi Audio     👉5 Kitau cha Fiqh     👉6 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)    

Post zinazofanana:

Habari,mfano umekunywa dawa za chupa hizi halafu baadae unagundua chupa ilikuwa na UFA nn kofanyike

Kunywa soda ama dawa kwenyechupa zakioo ambayo ina ufa ama mipasuko ni hatari. Ni kwa sababu huwezijuwa huwenda kipande kikaingia mdomoni na umangimeza. Sasa nini ufanye endapo umeshakula?

Soma Zaidi...
Huduma ya Kwanza kwa mtu aliyepatwa na shambulio la moyo

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu huduma ya Kwanza kwa mtu aliyepatwa na shambulio la moyo

Soma Zaidi...
Hatua za kufuata baada ya kuhisi kuwa umeambukizwa na virusi vya HIV

Posti hii inahusu zaidi hatua za kufuata unapohisi umeambukizwa na virus vya ukimwi. Kwa sababu watu wengi wanakuwa na kiwewe anapohisi ameambukizwa na virus vya ukimwi kwa hiyo wanapaswa kufanya yafuatayo.

Soma Zaidi...
HUDUMA YA KWANZA KWA ALIYEPATWA NA KWIKWI

Kwikwi sio hatari sana kwa afya, lakini inaweza kuwa hatari zaidi kwa mu aliyefanyiwa upasuaji kwenye tumbo.

Soma Zaidi...
Utaratibu wa maisha kwa aliye athirika

Somo hili linakwenda kukuletea utaratibu wa maisha kwa aliye athirika

Soma Zaidi...
Huduma ya kwanza kwa mgonjwa aliyepata ajali ya kichwa

Ajali ya kichwa na ajali inayotolewa kwenye sehemu mbalimbali za kichwa, ambavyo husababishwa madhara kwa aliyepata ajali hiyo

Soma Zaidi...