Huduma ya kwanza kwa mwenye jeraha linalotoa damu

Posti inahusu huduma ya kwanza kwa mwenye jeraha linalotoa damu.huduma ya kwanza Ni kumsaidia mtu alie pata jeraha au ajali kabla hajamwona dactari au kufika hospitalinia.

  Jinsi au namna ya kutoa huduma ya kwanza kwa mwe mwenye jeraha linalotoa Damu.

1.mwondoe kwenye hiyo sehemu ya Hatari ukizingatia usalama wake na usalama wako ili kusitokee Tena madhara au ajali nyingine .

 

2.angalia hewa, upumuaji,na mzunguko wake (asses airway, breathing and circulation) hii inakusaidia kujua Kama yupo Hali ya kawaida,amezimia,au koma (unconsciousness) na inakusaidia wewe kujua utaanzia wapi kumsadia mtu huyo aliyepa jeraha. Utagundua kuwa mgonjwa huyo anahitaji huduma ya haraka Sana, au huduma ya kusaidian wewe Kama wewe tu .

 

3.nawa mikono yako kabla hujagusa jeraha Hilo ili usiambukizie bacteria .

 

4. Kandamiza sehemu inayotoa Damu kwa kitambaa Safi na salama lakini Kama Damu zikizidi kutoka usikiondoe kitambaa hicho Bali weka lingine juu  mpaka Damu itakapo acha kutoka.

 

5.mpeleke mgonjwa hospitalini kwaajili ya matibabu zaidi endapo jeraha  Kama Ni kubwa na unaona kabisa kabisa kidonda hiko hakiwezi kupona haraka au kitachelewa ili jeraha lisije likaoza.

   

     Mwisho; huduma ya kwanza Ni huduma inayowasaidia watu wengi Sana ambao wanapata ajali mbalimbali Kama za magari, za miti n.k husaidia kuokoa maisha ya mtu, kupata huduma ya haraka n.k

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2021/12/05/Sunday - 11:18:53 am     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1081

Post zifazofanana:-

Mafunzo yz database MySQL database somo la 12 (final)
Huu ni muendelezowa mafunzo ya database kwa kutumia MySQl na hili ni somo la 12. katika somo hili tutajifunza namna ya kufanya mahesabu kwa kutumia SQl katika database Soma Zaidi...

Dalili za jeraha kali kwenye ubongo
Posti hii inahusu zaidi dalili za jeraha kali kwenye ubongo, ni majeraha ambayo utokea kwenye ubongo pale ambapo mtu anapata ajali au amepigwa na kitu chochote kigumu kichwni, zifuatazo ni dalili za jeraha kali kwenye ubongo Soma Zaidi...

Dalili za madonda ya koo
Posti hii inahusu zaidi magonjwa ya koo, ni ugonjwa unaoshambulia sana sehemu ya koo la hewa, na na huwa na dalili zake kama ifuayavyo. Soma Zaidi...

Njia za kugundua tatizo la kuwepo Kwa usaha kwenye mapafu
Post hii inahusu Zaidi njia mbali mbali ambazo uweza kitumiwa na wataalamu ili kuweza kugundua tatizo la kuwepo Kwa usaha kwenye mapafu. Soma Zaidi...

Historia ya zamani
Posti hii inakwenda kukupa muendelezo wa hadithi ya aladini na taa ya ajabu Soma Zaidi...

Mambo muhimu ambayo mama mjamzito anatakiwa kuzingatia.
Posti hii inazungumzia kuhusiana na Mambo ambayo mama mjamzito anatakiwa kuzingatia katika kipindi Cha ujauzito au mimba Soma Zaidi...

Maneno mazuri mbele ya mwenyezi Mungu
kuna adhkari nyingi sana ambazo Mtume wa Allah ametutaka tuwe tunadumu nazo. lajkini kuna adhkari ambayo imekusanya maneno matukufu na yanayopendwa sana na Allah. Soma Zaidi...

Dalili za upungufu wa vitamini C mwilini
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za upungufu wa vitamini C mwilini Soma Zaidi...

Wanaostahiki kupewa zakat
Nguzo za uislamu (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

Faida za kula passion
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula passion Soma Zaidi...

Madhara ya minyoo
Posti hii inaonyesha kiufupi kabisa madhara ya minyoo kwenye mwili wa binadamu. Yafuatayo Ni madhara ya minyoo; Soma Zaidi...

Jaribio la pili la aladini
Posti hii inakwenda kukupa muendelezo wa hadithi ya aladini na taa ya ajabu Soma Zaidi...